Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Sheria zao zimefanyaje? Kwa nini hamkimbilii kuishi nchi za Kiislam kama hizo sheria za Kiislam ni nzuri kama mnavyo zisifia hapa?

Sijawahi kuona muislam mwenye ndoto za kuishi Yemen, Pakistan, Iran wala Afghanistan kwenye sheria za Alah.

Wote nyie mnakimbilia kwenye Christian Majority countries za Ulaya na Marekani.

Wanafiki sana nyie jamaa.
Hakuna nchi za kikristo dunia kwa vile ukristo sio mfumo wa maisha .

kule Dubai hamuendi mbona?😅😅 Punguza point dhaifu kabisa hata hapo libya pamechafukq hapakaliki na walisababisha vita ndo hao wanachukua mateka.


Mbona mimi natamani kuisha iran sema hapa bongo ni kwetu .

uislamu unajitegemea na unaishi popote hata pasipokuwa msikiti ,lazima dini ieneee izo nchi hazina wakristo ni wapagan wengi nchi ya kikristo ni vatican hao marekani hawawatambui na shobo zenu wala israel.
 
Fafanua zaidi Mkuu, kiu hasa ya mleta mada ni kujua,hao ma sheikh wana graduate ? ,Kwa mfano, Elimu ya Dunia tunajua mtu akiitwa Msomi Basi amefikia ngazi Fulani ya Elimu Kama Degree

Je hiyo Elimu ya Dini mnaiitaje ? Ni hatua ipi hasa ya Elimu ambayo ndio mtu anatakiwa kuimaliza Hadi kuwa sheikh ?
Elimu ya sheikh tofaoti na wewe ulie maliza masomo yako ulaya elimu ya sheikh inahusu dini ya uisilamu elimu hiyo hawezi tumika ilivio hapa sababu kuna utawala unaotumia elimu nyingine hivio elimu ya sheikh inabaki kukaa kapuni
 
Hili linawezekana, waulize au wafatilie wote wanao himiza kondom wanazifahamu ? Wengine wamesikia tu juu juu umuhimu wa kondom, ila haimaanishi wanazifahamu.

Sasa swali kuwa na elimu hizo ndio zinamfanya vipi mtu kuwa makini ? Lakini kuwa na elimu hizo za ualimu, uhasibu, zinamfanya vipi mtu kuwa msomi wa dini ? Au kwenu nyinyi elimu ya dini mnachukuliaje ?

Kwa point hizo nimegundua huna idea of how hawa jamaa wana operate.
As i said unahizaje kitu usicho kifahamu?
“Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa”
“Mshike sana elimu usimuache aende zake”
Mistari hii yote iko kwenye biblia. Elimu ni pana sana

Elimu ya dini imo mule ndani, inaitwa theology.
Hizi zingine zinakuja kama addition but pia ni essintial
Huwez run taasis kwa elimu ya dini only, practicaly kwa dunia ya sasa huwez

Why hawa watu wanasoma kada mbali mbali? Wana mashule,hospitals,wana program mbali mbali za kijamii. Hawajajilita kwenye dini only
 
Sheikh ni neno la kiarabu ambalo kiswahili chake ni mzee, kulihusisha na dini ni utekwaji tu uliolenga kumuona mzee kwa umri wake kama ana historia ya hiyo dini.
 
Kaulize waislamu wote kama wanaitambua BAKWATA?

Usiwe kolo na maneno ya kupumbaa uislamu hauendeshwi na matamko kama vikundi vya ngoma.
Kumbe unaelewa, the same thing sio watu wote wanaitambua TEC lakini mwisho wa siku lazima kuwe na mwavuli wa uwakilishi na ndio maana hata public holidays za kiislamu official Tanzania tunafata za BAKWATA.
 
Kumbe unaelewa, the same thing sio watu wote wanaitambua TEC lakini mwisho wa siku lazima kuwe na mwavuli wa uwakilishi na ndio maana hata public holidays za kiislamu

Siongelei wakristo wala ukristo kwanza nakataa wale binadamu kama sisi wanaofanya makosa ,wengi wanawatetea .

Pia uislamu haufungamani na siasa ila unaheshimu mtawala katika kutoa maoni kwa sababu uislamu una mifumo yake .
official Tanzania tunafata za BAKWATA.
20230821_100106.jpg
 
Umesahau mtoa mada ndio kaanzisha kejeli mkuu?
Dini yako inakufundisha ukitikanwa na wewe utukane? Wakikukejeli na wewe wakejeli?
Wakiitusi dini yako na wewe uitusi dini yao?

Huko makanisani/misikitini huwa mnaenda kufanya nini??
 
Umeacha kuwajibu wanaokejeli dini umenifuata mimi.

Nina hakima zaidi yako ila umeleta bangi na adabu mbaya labda ukawafanyie unawalisha sio mimi ...

Tena usijaribu kabisa sina tatizo na mtu.Sas sema hoja zipi?
Hekima huna mkuu, hilo liko wazi.
Hizi comments zako zinadhihirisha hilo.

Na pia sivuti bangi.
 
Ukijua kiarabu kidogo kucheza judo na kudaka visu ume maliza kila kitu
 
Ukihifadhi Quran nzima na kuijuwa tafsiri yake na pia kuhifadhi hadithi nyingi za Mtume Muhamad Rehema za Mungu ziwe ju yake pamoja na amani wewe unaweza kuitwa Sheikh. Nahuwezi kuhifadhi Quran na kuhifadhi hadithi za bwana mtume Muhammad Reheza Mungu ziwe juu yake pamoja na amani pasipo kwenda vyuo vya dini ya kiislam kama hapo Tanzania chuo kipo cha dini ya kiislam au uende misri au uende madina nchini Saud Arabia ukirudi huko kusoma katika vyuo unaweza kuitwa Sheikh .
Vyuo mashuhuri na vikongwe duniani Ni vya kiislam Kama Azhar shariff,University of Sudan,University of Madina n.k
Sheikh anaweza kuwa na elimu ya Digrii,Masters,Mpaka phd kutokana na muda aliosoma

Huo uislamu ulianza lini yani vyuo vya kiisalmu viwe vikongwe kuzidi vyuo vya wagiriki,waroma au wa misri acha upotoshaji wewe.
 
Hawa watu sijui wanawapataje unakuta reasoning ya kawaida tu ni shida.......ila hawana mifumo mizuri kuwapata masheikh, na hata kama wanae bas hawawafanyii recruitment nzuri!

Ukishaweza tu kufafanua alama zilizopo kwenye logo ya taasisi kubwa ulimwenguni we ni sheikh namaanisha mfano akiangalia ile nembo ya arsenal akishaweza kuona ila gun ukifafanua we ni sheikh mkubwa tu.
Ukiweza kushawishi waumini kwamba IMF ukiisoma from end to start ni freemason international, ukiweza kufafanua shangilia ya Cristiano Ronaldo ww cyo mtoto wa mkulima ww ni sheikh mkubwa Afrika mashariki na Kati, ukiweza kuelezea nembo ya MOSSAD, CIA, M16 kaka we ni ulamaaa kbs
😆😆😆😆😆😆🙌
 
Mtu mweusi anaendeshwa na tumbo, ukiona mtu anaongea ujue maslahi yake yameguswa. Sasa hivi hatuwasikii Bakwata sababu imani yao inawafunza mwislamu yeyote duniani ni ndugu yake kwahiyo hawawezi kuwapinga DP.

TEC nao wanahaha sababu waislamu wakishika bandari maslahi yao yataguswa.



Noted...!

Masilahi yepi yataguswa,kwahiyo kuuza rasmali na chanzo kikuu cha mapato nchini kwa wageni wewe umeona fair kwakuwa ni waisalmu wenzio??
 
Kila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.

Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaidha kikubwa awe anajua.

Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..

Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haumpi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.

Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.

Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.
swadakta.. km hawajakuelewa basi tena sheikh wangu!
 
Back
Top Bottom