bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Poleni sana endelea kutumia zile dawa zakoKuna mwingine huku alikuwa kasoma sana zaidi ya wazee alowakuta alipotaka kuwaongoza hakubishiwa NDANI ya wiki siku moja alfajiri akienda kupiga adhana alikutana na Simba alifukua mbio msuli na KOBAZI vliokotwa na wengine hakurudia tena pia Kuna mwingine tena alileta ngenga mbele ya wazee wa itifaki alizabuliwa Kofi kuamka Asubuhi shavu kama nusu tikiti Naye akatafuta wakubwa zaidi akapona lakini mzee aliyehusika kumfanyia huo ubaya nae alitandikwa Kofi usiku NDANI ya siku tatu Chali NDANI ya mwanandani chezea weye
Wewe inaonyesha bado hujapona endelea kutumia zile dawa zako utapona InshallahUkialikwa kula ubwabwa kwenye nyumba kuanzia tano na kuendelea
Nyumba yangu na huo msikiti tumetengana ukuta tu.Wakati hayo yakitokea wewe unakuaga wapi?
Kila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.
Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaidha kikubwa awe anajua.
Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..
Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haumpi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.
Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.
Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.
Kwa ujumla u sheikh na uchawi ni sambamba.Kuna mwingine huku alikuwa kasoma sana zaidi ya wazee alowakuta alipotaka kuwaongoza hakubishiwa NDANI ya wiki siku moja alfajiri akienda kupiga adhana alikutana na Simba alifukua mbio msuli na KOBAZI vliokotwa na wengine hakurudia tena pia Kuna mwingine tena alileta ngenga mbele ya wazee wa itifaki alizabuliwa Kofi kuamka Asubuhi shavu kama nusu tikiti Naye akatafuta wakubwa zaidi akapona lakini mzee aliyehusika kumfanyia huo ubaya nae alitandikwa Kofi usiku NDANI ya siku tatu Chali NDANI ya mwanandani chezea weye
- uko na midevu mirefu? Basi umekaribia
- uko na kanzu, baraghashia, kizibao na kobazi? Hauko mbali kua sheikh.
- achana na elimu dunia, umepiga madrassa na uko na aya kadhaa za Qur'an kichwani? Wewe tayari ni sheikh!
LEO NAPIGA KOTE!
- Uko na mistari miwili mitatu ya bibilia kichwani? Unasubiri nini kua mtume au nabii?
- unaweza kupata watu kadhaa wakatoa ushuhuda wa uongo na kuigiza kua wamepona? Fungua kanisa mzee.
- unaweza kuongea kwa hisia na sauti kubwa? Unaipenda Israel? Wewe ni mchungaji.
Haya leteni mapovu wavaa kobazi na wagalatia!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa unahamisha magoli sasa, tumalize hili la usheikh kwanza hayo kuswi mbona ni mada nyengineManeno kibao,Kama ndio hivyo ahuyu Leo huyu kesho
Ulimuuliza unamiliki vipi hayo majini?Mimi miaka ya 1980 niliambiwa ili uwe sheikh ni lazima umiliki majini mengi.
Hawana hoja kwanza.Hujajibu swali ila unawakashfu TEC
Karibu ubwabwa sheikh mnapenda sana vya bure..Wewe inaonyesha bado hujapona endelea kutumia zile dawa zako utapona Inshallah
Kitendo cha kumtambua mmliki majini tayali hata wewe mchawi wahenga walisema ajuae mwanga nae mwangaAnayemiliki majini mengi ndio sheikh.
Jirani yangu kuna msikiti hapa wanagombea kusalisha hadi mmoja kapigwa kitu Kawa bubu.
Sababu haswa kujifanya kuwahi asubuh ili aadhini.
Ile kuanza tu wallaau akibaru! Sauti ikaondoka jumla, hadi Saiz ni bubu.
Kila nafsi inaamini makutenda maovu ndio uhuru halisi ndio maana watu wanakimbilia huko ambako hakuna dini wala mila dini ya huko ulaya ni katiba tuHAKUNA Mwislam anayetamani kuishi kwenye nchi za Kiislam zenye Sharia. Wote nyie mna ndoto za kuishi Ulaya na Marekani kwenye Christian majority countries.
Waarabu wa Africa Kaskazini wanazamia kila siku kwenda Italy na Spain. Sijawahi kusikia wakizamia kwenda Syria, Iraq, Pakistan, Afghanistan wala Iran.
Hata Sheikh/Imamu wako ukimpa option ya kwenda kuishi Canada au Saudi Arabia atachagua Canada. [emoji1787]
Mwanaume anae mshangaa mwanaume mwenzie mwenye ndevu fahamu mwanaume huyo lazima atakuwa shoga sababu ndevu kwa mwanaume ni sawa na manyoyo kwa mwanamke,jiulize kama kweli wewe ni mwanaume ulie kamilika unasimamisha unaanzaje kuchukia ndevuKuvaa makubaz
Kuwa na wake 1,2,3,4
Kuvaa kanzu nyeupe
Angalau uwe na Majin kadhaa
Kuwa na ndevu
Hayo mambo unayajuaje kama sio mwanga wewe?Kuna mwingine huku alikuwa kasoma sana zaidi ya wazee alowakuta alipotaka kuwaongoza hakubishiwa NDANI ya wiki siku moja alfajiri akienda kupiga adhana alikutana na Simba alifukua mbio msuli na KOBAZI vliokotwa na wengine hakurudia tena pia Kuna mwingine tena alileta ngenga mbele ya wazee wa itifaki alizabuliwa Kofi kuamka Asubuhi shavu kama nusu tikiti Naye akatafuta wakubwa zaidi akapona lakini mzee aliyehusika kumfanyia huo ubaya nae alitandikwa Kofi usiku NDANI ya siku tatu Chali NDANI ya mwanandani chezea weye
We mwanga tu ndio maana unawajua wanga wenzioNyumba yangu na huo msikiti tumetengana ukuta tu.
Pia huwa nahusika kwenye shughuli mbalimbali za hapa msikitini km jirani.
Ulijuaje kama wewe sio mwanga?sababu uchawi haonekani tunuze haya unayajuajeKwa ujumla u sheikh na uchawi ni sambamba.
Usipokuwa mzito huwezi kuongoza ibada
Wale wachawi wa kule kwetu Mbeya ni MASHEIKH ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulijuaje kama wewe sio mwanga?sababu uchawi haonekani tunuze haya unayajuaje
Maelezo Mengi.. lakini hujajibu swali ndugu usipanicKila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.
Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaidha kikubwa awe anajua.
Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..
Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haumpi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.
Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.
Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.