Asante kwa kukubaliana na mimi.Kila nafsi inaamini makutenda maovu ndio uhuru halisi ndio maana watu wanakimbilia huko ambako hakuna dini wala mila dini ya huko ulaya ni katiba tu
Hiyo ina prove kuwa hizo sharia za Kiislam mnazozisifia kila siku hata nyie wenyewe HAMZITAKI kwa sababu Hazifai.
Sharia za Kiislam hazina ubora wowote ule. Zingekuwa bora tungewaona mkikimbilia kuishi nchi za Sharia.
Ila cha ajabu Nyie wenyewe MNAZIKIMBIA hizo nchi na hamzitaki.
Hata wewe 25000q HUZITAKI hizo sharia. Kwa sababu NINA UHAKIKA(ukiweka unafiki pembeni) ukipewa option ya kuishi Iran, nchi ya Kiislam au Kuishi Italy, a Christian majority country.. Utachagua Italy.