Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
IMG-20220927-WA0000.jpg
 
Haiwezekani uite press conference na kudai kuwa umeua majambazi kwa majibizano ya risasi baada ya majambazi kukaidi utii wa polisi kumbe kuna extra judicial killings.

Mpaka sasa kuna utata mkubwa na huyu kada wa Chadema akomae mpaka haki ipatikane
👇
20220927_002422.jpg
 
Kuna mchongo nimepewa kuna jamaa wanaondoa million 300 kila wiki. Hawa jamaa nakula hela wakileta utata nawapiga risasi halafu nasema panya road.🤣 money walk bitch dat the money talk.💵
 
Kila kona ya Nchi damu isiyo na hatia inamwagika.

Tangu Kingai apelekwe ile Idara mauaji yameongezeka.
Mama anafurahia umwagaji damu ndio maana yuko karibu na analindwa Makonda asishitakiwe
 
Na bado hii ni introduction tu ikifika yenyewe watu wataomba po acha waendelee kushabikia ujinga
Mama anaupiga mwingi. Hakuna kama mama.

Siyo yule mwingine aliua tu watu ovyo na kubambikia watu kesi.

Mama hoyeeeeeee!!!

Acha waisome namba.
 
Huyo anayefuatilia aangalie na yeye atafuatliwa. Utasikia jambo dhidi yake si muda mrefu.
 
Haiwezekani uite press conference na kudai kuwa umeua majambazi kwa majibizano ya risasi baada ya majambazi kukaidi utii wa polisi kumbe kuna extra judicial killings.

Mpaka sasa kuna utata mkubwa na huyu kada wa Chadema akomae mpaka haki ipatikane
👇View attachment 2369284

Hili si kwa kigogo was Chadema tu. Wala hapaswi kukomaa peke yake. Tunpaswa kusimama sote dhidi ya police brutality na extra judicial killings zao:

Kusimama na Catherine Ruge ni Wajibu
 
Masuala ya polisi kua watu ni tatizo kubwa sana kwa nchi ya Tanzania hayo ni Yale mauji yanayoonekana na kusemwa kwa watu, ila Serengeti kweny hifadhi na maeneo jiran Kuna mauaji sana ya raia Bado ukija nyamongo kweny mgodi wa north mara Kuna mauji ya vijana na polisi ndo huwa wanaua, Kuna wakati vitu vingine vinahitaji weledi na akili kubwa tatizo la polisi akishapewa SMG tu basi hata kama ni kichaaa utakuta na yeye yupo kweny uniform , hii ndo unasikia mpaka mahabusu eti amejinyonga na dekio ndani ya kituo Cha polisi, yaani vitu vya kipuuzi sana
 
Back
Top Bottom