Kigogo: "Gambo Amenifurahisha Sana Kwa Kumuumbua Kiongozi wa Mkoa Mfanya Matamasha ya kula nyama wakati Jiji halina Stendi."

Umeanza kukimbia comments zako mbona hapo juu ulikuwa unamponda sasa watz wameamua kukutolea uvivu naona unajikana.
Sijamtaja popote ila kimsingi hana lolote
 
Reactions: UCD
Gambo n zero brain akiwa RC magu alimwaga pesa za stand madiwani wakapendekeza stand iwe wap gambo na interest zake akataka stand ijengwe kwingine mgogoro ukaanzia hapo
 
Gambo n zero brain akiwa RC magu alimwaga pesa za stand madiwani wakapendekeza stand iwe wap gambo na interest zake akataka stand ijengwe kwingine mgogoro ukaanzia hapo
Gambo ndio anapanga wapi stendi ijengwe? Hiyo stendi haikuwa kwenye Bajeti?

Porojo at work
 
Mfumo wa upigaji umeiweka serikali mfukoni hakuna kuwaza maendeleo.
 
Basi kutakuwa na tofauti zao binafsi mbali na mambo yao ya siasi
 
Wanasiasa wa Arusha wanamkwamisha
 
Huyo Gambo mpuuzi mmoja, yeye alifanya nini toka yupo mkuu wa wilaya?

Ujinga mtupu….
 
Anatafuta huruma ya wananchi uchaguzi umekaribia..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…