Kigogo: "Gambo Amenifurahisha Sana Kwa Kumuumbua Kiongozi wa Mkoa Mfanya Matamasha ya kula nyama wakati Jiji halina Stendi."

Kigogo: "Gambo Amenifurahisha Sana Kwa Kumuumbua Kiongozi wa Mkoa Mfanya Matamasha ya kula nyama wakati Jiji halina Stendi."

Gambo n zero brain akiwa RC magu alimwaga pesa za stand madiwani wakapendekeza stand iwe wap gambo na interest zake akataka stand ijengwe kwingine mgogoro ukaanzia hapo
 
Gambo n zero brain akiwa RC magu alimwaga pesa za stand madiwani wakapendekeza stand iwe wap gambo na interest zake akataka stand ijengwe kwingine mgogoro ukaanzia hapo
Gambo ndio anapanga wapi stendi ijengwe? Hiyo stendi haikuwa kwenye Bajeti?

Porojo at work
 
Vichwa vibovu.

Milioni 60 wote vichwa panzi

Dar imeonekana model ya stendi moja, kubwa maalum, imekataliwa. Haitumiki.

Kwa nini bado tunaongelea Stendi za Mkoa ?

Tunataka modern highways, barabara zipanuliwe, usalama uongezeke, sio ma stendi ya mikoa.

Dare to think big.
Mfumo wa upigaji umeiweka serikali mfukoni hakuna kuwaza maendeleo.
 
Sasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kaja Arusha mwaka Jana.

Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa..mkuu wa wilaya.. nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....
Basi kutakuwa na tofauti zao binafsi mbali na mambo yao ya siasi
 
Hapo Arusha anajenga uwanja Mpya piruuu,anajenga mabarabafa Kila sehemu,amewaletea maji,amewaletea mapesa ya utalii, na Mikutano,amewakarabatia uwanja wa Ndege kule kisongo , kwenye mashule ndio usiseme,Afya ndio kabisaa kiufupi bila Samia Arusha ilishajifia awamu ya 5.

Big zaidi amewalipa watu wa Monduli fidia kupisha mradi mkubwa wa magadi soda,ilishindikana Toka uhuru ila Samia ameweza.

Una swali jingine kuhusu Samia? Hiyo ni summary tuu.
Wanasiasa wa Arusha wanamkwamisha
 
Huyo Gambo mpuuzi mmoja, yeye alifanya nini toka yupo mkuu wa wilaya?

Ujinga mtupu….
 
Sasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kaja Arusha mwaka Jana.

Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa..mkuu wa wilaya.. nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....
Anatafuta huruma ya wananchi uchaguzi umekaribia..!!
 
Back
Top Bottom