ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
Sijamtaja popote ila kimsingi hana loloteUmeanza kukimbia comments zako mbona hapo juu ulikuwa unamponda sasa watz wameamua kukutolea uvivu naona unajikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijamtaja popote ila kimsingi hana loloteUmeanza kukimbia comments zako mbona hapo juu ulikuwa unamponda sasa watz wameamua kukutolea uvivu naona unajikana.
Gambo ndio anapanga wapi stendi ijengwe? Hiyo stendi haikuwa kwenye Bajeti?Gambo n zero brain akiwa RC magu alimwaga pesa za stand madiwani wakapendekeza stand iwe wap gambo na interest zake akataka stand ijengwe kwingine mgogoro ukaanzia hapo
Hana lolote kwako lakini siyo kwa wana Arusha.Sijamtaja popote ila kimsingi hana lolote
Waliokwamisha isijengwe kipindi hicho ni kina nani ?Gambo ndio anapanga wapi stendi ijengwe? Hiyo stendi haikuwa kwenye Bajeti?
Porojo at work
Hakukuwa hela Wala plot,zilikuwa.plot.Waliokwamisha isijengwe kipindi hicho ni kina nani ?
Chuki kati ya RC (Gambo) na mbunge (Lema) ?...Hakukuwa hela Wala plot,zilikuwa.plot.
By the way ni chuki za Kisiasa za waliokuwepo.
Aliyesema waliochagua Wapinzani haleti maendeleo ni Gambo?Chuki kati ya RC (Gambo) na mbunge (Lema) ?...
Alitekeleza falsafa ya aliyemteua kuwa RC.Aliyesema waliochagua Wapinzani haleti maendeleo ni Gambo?
Mfumo wa upigaji umeiweka serikali mfukoni hakuna kuwaza maendeleo.Vichwa vibovu.
Milioni 60 wote vichwa panzi
Dar imeonekana model ya stendi moja, kubwa maalum, imekataliwa. Haitumiki.
Kwa nini bado tunaongelea Stendi za Mkoa ?
Tunataka modern highways, barabara zipanuliwe, usalama uongezeke, sio ma stendi ya mikoa.
Dare to think big.
Basi kutakuwa na tofauti zao binafsi mbali na mambo yao ya siasiSasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kaja Arusha mwaka Jana.
Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa..mkuu wa wilaya.. nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....
Wanasiasa wa Arusha wanamkwamishaHapo Arusha anajenga uwanja Mpya piruuu,anajenga mabarabafa Kila sehemu,amewaletea maji,amewaletea mapesa ya utalii, na Mikutano,amewakarabatia uwanja wa Ndege kule kisongo , kwenye mashule ndio usiseme,Afya ndio kabisaa kiufupi bila Samia Arusha ilishajifia awamu ya 5.
Big zaidi amewalipa watu wa Monduli fidia kupisha mradi mkubwa wa magadi soda,ilishindikana Toka uhuru ila Samia ameweza.
Una swali jingine kuhusu Samia? Hiyo ni summary tuu.
Anatafuta huruma ya wananchi uchaguzi umekaribia..!!Sasa Makonda ana muda gani Arusha.? Anamapungufu yake sawa ... team Gambo hamna akili....Makonda kaja Arusha mwaka Jana.
Gambo upo Arusha toka ukiwa Mkuu wa mkoa..mkuu wa wilaya.. nadhani hawa jamaa huwa wanapata nyadhifaa kwasababu ya kujuana tu havina hata akili.....