Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,844
Eee mungu mkubwa nilishakuja na story hapa mdogo wangu alifanyiwa kitendo kichafu na huyu kigogo huyu na kuomba ushauri nifanyeje ila mlinishambulia sana na kwa matusi wengine wakanikebehi sasa nashukuru wengine wameyaona nina mjua kabisaaa na nilishakutana nae kwenye case ya mdogo wangu. Soon ataumbuka na hawezi kuacha maana kuanzia wanaomlinda anawatumia na anapenda sana watoto wazuri wazuri ni mshenzi wa tabia pamoja na kuongozwa kwenye msafara bado macho juu juu nje kutazama vijana wazuri. Please natamani wamuweke hadharani.
Nimeikumbuka ile stori ya mdogo wako..!
Hebu tutajie jina la huyo Kigogo fastaa...!