Kigogo mzito serikalini shoga

Kigogo mzito serikalini shoga

Eee mungu mkubwa nilishakuja na story hapa mdogo wangu alifanyiwa kitendo kichafu na huyu kigogo huyu na kuomba ushauri nifanyeje ila mlinishambulia sana na kwa matusi wengine wakanikebehi sasa nashukuru wengine wameyaona nina mjua kabisaaa na nilishakutana nae kwenye case ya mdogo wangu. Soon ataumbuka na hawezi kuacha maana kuanzia wanaomlinda anawatumia na anapenda sana watoto wazuri wazuri ni mshenzi wa tabia pamoja na kuongozwa kwenye msafara bado macho juu juu nje kutazama vijana wazuri. Please natamani wamuweke hadharani.

Nimeikumbuka ile stori ya mdogo wako..!

Hebu tutajie jina la huyo Kigogo fastaa...!
 
WAKATI masuala ya ushoga yakipingwa kwa nguvu zote hapa nchini, skendo ya aina yake imeikumba serikali baada ya siri kuvuja kuwa mmoja wa viongozi kumi wa juu nchini ni shoga.

Habari hizo za kushtua na kufedhehesha taifa ambazo zimefanyiwa kazi na dawati la Ijumaa kwa kushirikiana na kitengo cha OFM cha Global, zilitua hivi karibuni chumba cha habari kupitia kwa kijana aliyejitokeza na kueleza alivyofanya mapenzi ya jinsia moja na kigogo huyo ambaye jina lake linahifadhiwa kwa sasa.

KIJANA HUYO NI NANI?
“Mimi naitwa Taric Jumbe, nina miaka 21, nimefika hapa kutoa ushuhuda wangu kuwa nilifanya mapenzi na... (anataja jina), tulianza kuchat kwenye Facebook, akaniomba urafiki, nikamkubalia nikijua ni wa kawaida tu.


“Baadaye akaanza kunitongoza na kuniahidi fedha nyingi, nikakubali. Siku ya kwanza tulikutana Dar, Hoteli ya Serena, akanielekeza chumba alichopo (anataja namba ya chumba), nikaenda na kuwakuta walinzi wake, nilipojitambulisha wakaniruhusu kuingia chumbani kwake. Nimeshafanya naye mara tatu,” alisema kijana huyo.

JINSI WALIVYOWASILIANA
Mbali na matumizi ya mtandao wa kijamii, wanahabari wetu walitaka kujua mpaka kijana huyo anafika hotelini hapo, alikuwa akiwasiliana na kigogo huyo kwa njia gani? Jumbe akasema:

“Mwanzo nilikuwa nawasiliana naye kwa Facebook lakini tulipozoeana alinipatia namba zake za simu.”

Jibu hilo lilitoa mwanya kwa makachero wa gazeti hili kuperuzi mtandao wa simu ile ili kujua kama anayeitumia namba hiyo ni kigogo huyo au ni changa la macho.

Bila chenga ilibainika kuwa namba hiyo ni ya kigogo huyo, lakini ilipopigwa kwa lengo la kuwasiliana naye moja kwa moja, iliita bila kupokelewa na kuwafanya waandishi kuendelea na kazi ya kumhoji kijana huyo kwa kina.
attachment.php


Taric akiwa ndani ya Global kuelezea sakata hilo la kufanya mapenzi na kigogo serikalini.


KUHUSU MALIPO
Jumbe aliweka wazi kuwa siku ya kwanza kukutana naye alilipwa shilingi elfu themanini sambamba na ahadi kuwa wakati wowote atakapokuwa na shida awasiliane na kigogo huyo ambaye msafara wake huongozwa na pikipiki yenye king’ora na gari la polisi, kwa lengo la kuwezeshwa kimaisha.


Aliongeza kuwa kiasi kikubwa alichowahi kuhongwa ni shilingi laki tatu (300,000), huku akiainisha kwamba fedha nyingine alikuwa akipewa kidogokidogo kwa ajili ya kujikimu.

MSHANGAO MWINGINE
Mbali na kijana huyo kukiri kufanya mapenzi mara mbili na kigogo huyo hotelini, mshangao ulikuja pale alipoweka wazi kuwa mara ya tatu alimfuata kiongozi huyo nyumbani kwake ambako alishirikiana naye tendo hilo la aibu.


Waandishi walipotaka kujua waliwezaje kufanya uchafu huo nyumbani kwa kigogo huyo mwenye familia, Jumbe alisema: “Ni kweli anaishi na familia lakini nje ya nyumba yake ana ofisi, huko ndiko alikonikaribisha na kunifanyia mchezo huo.”

UPEKUZI WA MAWASILIANO
Baada ya maelezo hayo, waandishi wetu waligeukia uchunguzi wa mawasiliano ya simu na mtandao wa Facebook baina ya Jumbe na kigogo huyo ambapo walibaini kuwepo kwa mambo ya aibu kubwa.


Kwa macho maangavu, waandishi wetu walioneshwa meseji alizokuwa akituma kigogo huyo ambazo chache kati ya hizo zilisomeka: “Baby, mke wangu, honey,” huku Jumbe naye akichagiza majibu kwa mtindo huohuo hadi naye kufikia mahali pa kumwita kigogo huyo ‘mume wangu’, aibu iliyoje!

Kama hiyo haitoshi, wawili hao walifikia hatua ya kusifiana namna walivyoumbika na kupeana mapenzi motomoto na kuahidiana kuwa pamoja milele. Kufuru kubwa kwa Muumba!

WIVU HAUKUKOSEKANA
Katika hali ya kustaajabisha na kuonesha kuwa kigogo huyo amekubuhu kwenye mambo hayo, wakati mwingine akiwa nje ya nchi alidiriki kumuonea wivu kijana huyo ambapo mara kadhaa alituma meseji ya kutishia kumwacha kutokana na kile alichokiita ‘kutoka nje ya ndoa’.


Moja kati ya meseji hizo za fedheha kutoka kwa mheshimiwa huyo, ilimtuhumu Jumbe kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine, jambo ambalo kijana huyo alilikanusha na wote kuwekana sawa kwa lengo la kusonga mbele na uhusiano wao.

KIGOGO MZITO AHOJIWA
Baada ya kupata maelezo hayo ya kutisha na kusikitisha, kwa zaidi ya mwezi mzima, gazeti hili lilifanya juhudi za kumtafuta kigogo huyo ili kuweza kupata maelezo yake kuhusiana na mkasa huo.


Hatimaye, kwa namna ya kijasusi, Ijumaa liliweza kumfikia na kummwagia data zote, zikiwemo picha za kijana huyo na nakala ya mawasiliano katika mtandao wa Facebook ambapo alionekana kuduwaa.

Hata hivyo, kutokana na waandishi wetu kufanya mahojiano na kigogo huyo huku wapambe wake wanaomlinda na kumuongoza wakiwepo, haikuwezekana kufungua kila kitu wazi kwa vile mazungumzo hayo yalikuwa yakirekodiwa.

Baada ya kuoneshwa tuhuma zake kwa kutumia nyaraka, mheshimiwa huyo alikiri: “Nazifahamu hizi nyaraka.” Akimaanisha alichokiona kinamhusu kwa asilimia mia moja.

TAHADHARI
Tunapenda kuutaarifu umma kuwa tumeamua kulificha kwa makusudi jina la kigogo huyu ili
kuilinda heshima yake ambayo ni kubwa katika jamii yetu. Tutaliweka wazi wakati wowote endapo kati ya mambo haya yatajitokeza.

Mosi, kijana huyo (Jumbe) atadhuriwa. Tunajua nguvu alizonazo mheshimiwa huyu ni kubwa, tunaomba kumfahamisha kwamba tutamuanika hadharani endapo Jumbe atafikwa na matatizo yoyote yasiyo ya kawaida.

Pili, endapo tutathibitisha kuwa anaendelea na mchezo wake huu usiokubalika na mwisho, endapo waandishi waliokwenda kufanya naye mahojiano, ambao yeye na wapambe wake wanawafahamu, watapata madhara yoyote

Huu ndio UPUUZI wa magazeti ya Udaku hapo home, ujinga mtupu!!!Eti Unadai unaficha jina kulinda Heshima yake, heshima yanini??unampa Heshima gani mtu aliyefanya jambo lisilo la Heshima??Na bado yataendelea kutokea mautumbo mengi kwasababu ya nyinyi kua na Upuuzi huu, napenda sana magazeti ya nje!!mfano: Rais wa ufaransa alilala na malaya akaandikwa Rais kalala na malaya, Rais wa bank ya dunia kaonga mwanamke na kulala nae akaandikwa adharani, Bill Clinton na Monica waliandikwa pamoja na Heshima na nyazfa zote za Bill Clinton wakati ule, SWALI nyazfa za uyo mpuuzi kubwa kuwapita hao niliowataja???ama yeye ni Mungu mtu. MUACHE UPUUZI wekeni maovu hadharani.
 
Huu ndio UPUUZI wa magazeti ya Udaku hapo home, ujinga mtupu!!!Eti Unadai unaficha jina kulinda Heshima yake, heshima yanini??unampa Heshima gani mtu aliyefanya jambo lisilo la Heshima??Na bado yataendelea kutokea mautumbo mengi kwasababu ya nyinyi kua na Upuuzi huu, napenda sana magazeti ya nje!!mfano: Rais wa ufaransa alilala na malaya akaandikwa Rais kalala na malaya, Rais wa bank ya dunia kaonga mwanamke na kulala nae akaandikwa adharani, Bill Clinton na Monica waliandikwa pamoja na Heshima na nyazfa zote za Bill Clinton wakati ule, SWALI nyazfa za uyo mpuuzi kubwa kuwapita hao niliowataja???ama yeye ni Mungu mtu. MUACHE UPUUZI wekeni maovu hadharani.

Kama wameichoka ajira na wamechoka kuishi watamtaja, wameshazoea kuwasema hawa wasanii wetu akina tunkunynyu hawana mbele wala nyuma
 
Kama wameichoka ajira na wamechoka kuishi watamtaja, wameshazoea kuwasema hawa wasanii wetu akina tunkunynyu hawana mbele wala nyuma

Dah natamani niwatusi aiseeee, ma lofa ndio watakua wanunuzi wa iyo mikaratasi yao ya habari zilizopikwa.
 
Kama wameichoka ajira na wamechoka kuishi watamtaja, wameshazoea kuwasema hawa wasanii wetu akina tunkunynyu hawana mbele wala nyuma

Wanatengeneza rushwa hapo! Pu.mbu.ff kabisa!
 
jamani huyo dogo namfananisha na dogo mmoja anakaa tabata,nilisoma nae shule moja ya kiislam mitaa ya boko,kama ni yeye ni shoga toka tupo xul na alikuwa analiwa na wanafunzi mpaka madereva teksi,alifukuzwa shule dogo mwenyewe,jina la kwanza ni T, la pili ni hilo Jumbe.
 
Jamani Mungu anisamehe kama nimemfananisha,ila huyu ni Thabiti bila chenga.
 
Hofu ya nini sasa wakati wamejificha mbele ya keybord na fake ID!
wale global publ wenye jina lake sijui wanaogopa nini kumtaja??

natamani ningekua namjua namfahamu ningekunong'oneza umtaje ukiwa umejificha nyuma ya keybord na fake id
 
wale global publ wenye jina lake sijui wanaogopa nini kumtaja??

natamani ningekua namjua namfahamu ningekunong'oneza umtaje ukiwa umejificha nyuma ya keybord na fake id

ni-PM nimtaje bibie global si wanaogopa
 
Back
Top Bottom