Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Katiba ni kwa ajili ya wananchi wa Tanzania. Nipe ushahidi ni lini wananchi wa Tanzania walimtuma Mbowe na Lissu kuwa tunataka Katiba Mpya sasa kuliko kujenga uchumi.

Natambua wananchi waliongea kupitia Tume ya Jaji Warioba mwaka 2014/15. Kwa sababu ambazo Samuel Sitta (RIP) na Kikwette mchakato hakufika mwisho.

Aliyefuata Mwendazake kwa miaka 5 alisema Katiba haikuwa ahadi yake kwenye kampeni. Mbowe na Lissu waliufyata kimya.

Rais SSH kasema nipeni muda kwanza nijenge uchumi. Mbowe na Lissu wanasema hatuwezi kumbembeleza. YΓ ani kuongoza kikundi cha wahuni cha mtaa wa Ufipa wanaona wana busara kuliko Rais aliyeapishwa kuongoza wananchi 60 Milion?
 
Kwa hiyo mwenye IQ kubwa kuliko Lissu ni wewe mkuu?
Tena mi ndio hanikaribii kabisa!
Sema amebarikiwa kutumia ulimi kuwapumbaza watu(simlaumu sababu ndivyo wanasiasa walivyo)
 
Kwani huyo kigogo ni mwanachama wa Chadema,au ni kiongozi gani uko chadema.maana naona watu wasiofikiria sawasawa mnamuhusisha na chadema.sijawai kuona chadema popote ikiunga harakati za kigogo za namna yoyote.ninachokijua ni kwamba kigogo anawafuasi wa kila namna na alipata wafuasi wengi kipindi anaisema serikali ya Jpm sasa hilo sidhani kama linampasisha kua mwanachama wa chadema japo kwa wakati kadhaa amewai kusaport harakati mbalimbali za chadema.Kama kuna wafusi wa vyama vya upinzani waliokua wanaunga harakati zake walifanya hivyo kwa sababu binafsi na ata sasa kigogo anapomsema Lissu anafanya kwa sababu binafsi na wanaompinga wanampinga kwa sababu binafsi.Na huo ni uhuru wa mawazo sio issue sana yakusumbua.Kigogo ana mtazamo wake na wengine wana mitazamo yao Kwahiyo mnaomuhusisha kigogo na chadema punguzeni mawenge.
 
Tena mi ndio hanikaribii kabisa!
Sema amebarikiwa kutumia ulimi kuwapumbaza watu(simlaumu sababu ndivyo wanasiasa walivyo)

Na IQ kubwa yako hiyo uliyonayo umeipima wewe mwenyewe?
 
Upinzani kama upinzani
Chadema huwa mnajisahau mjue nyie haya
Kuitwa mjinga wakati ukijua si mjinga Moyo utasumbuka
Vaeni kiatu cha aliyeitwa mjinga
Sijui
Hujanielewa!!
 
Njia zilizotumika kupima IQ ya LISSU ndizo zilizotumika kupima ya kwangu

Si unajua hata ngedere hupima IQ yake akilinganisha na ya kwako na majibu yake humpa kuwa ana IQ kubwa kuliko wewe?
 
Sawa ni maoni ya mwanakijani mmoja katili anayeamini katika ukatili na anayefurahia bambikabambika, kwake haki ni shubiri. Ni maoni tu.

Nilii-save hii. Ni ya tarehe 10/5/2020 na ukiangalia muda ilikuwa ni saa 9 ya alasiri.
 
Na ndicho ambacho wanakifanya. Wamemiliki Twitter yote kuifanya ni Chadema. Ukitoa mawazo ya tofauti ambayo ni ya kujenga wanakushambulia na matusi juu.

Wanataka kuifanya Jf ni Chadema kitu ambacho si kizuri na hatuwezi kuruhusu na haturuhusu Jf iwe ya CCM vilevile. Huu mtandao ubaki kuwa mtandao wa jamii huru ambapo kila mmoja atowe mawazo yake.
 
Nimekupa like umeiona mkuu?
 
Mkuu huyo LISSU kawazidini IQ huko chadema.
Uwezo wake wakupambanua mambo magumu ni mdogo sana,na ndio maana hata kwenye ''hard talk'' alishindwa alipokutana na waandishi wabobezi.
LISSU anazidiwa IQ hata na DIAMOND,sema mnampaisha tu.
USITISHIKE na eti kasoma nje,sijui first class kwani IQ haipimwi hivyo.
Huko bungeni unakozungumzia kweli alionyesha uwezo na ubishi na kususasusa akiishiwa point.
 
Hardtalk alishindwa ndio maana hata mtangazaji kuna muda alikuwa tu anafunika kombe.
Bungeni kawazidi mara 1000!!!??? Sasa mbona alikuwa anakimbilia nje akizidiwa hoja?
Tena anapendapenda kuiga mambo hadi akawashawishi mandezi wenzie eti wazibe midomo kwa plasta.
TENA kweli LISSU kasumbua sana bungeni kwa vurugu zake hadi ikapelekea tukakosa katiba mpya ilopendekewa na jaji WARIOBA.
Sina haja ya kuongoza upinzani kwani tayari nipo kwenye moja ya vyama bora afrika na duniani(CCM)

Suala la kupigwa risasi 32 nalikwepa kulizungumzia kila muda lakini unaling'ang'ania tu.
Ila hata kama alipigwa na chadema,mabeberu,serikali au yoyote yule bado halihusiani na IQ yake.NALAANI tukio hilo
 
Siku zote ukifanya ujinga na ukikosa wa kukusahihisha unaishia kuwa MPUMBAVU. Akina Mbowe wanataka wasifiwe tu hata ujinga. Kweli Twitter ukiwakosoa wanakutukana. At the end wamebakiwa kama kijiwe cha kahawa
 
Siku zote ukifanya ujinga na ukikosa wa kukusahihisha unaishia kuwa MPUMBAVU. Akina Mbowe wanataka wasifiwe tu hata ujinga. Kweli Twitter ukiwakosoa wanakutukana. At the end wamebakiwa kama kijiwe cha kahawa
Mbowe alishawahi kumtukana mtu Twitter ?
 
Napa mtandao bambikabambika na ubakie kivyake pia na usiwapangie wengine nini chakufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…