Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Kwani hiyo katiba ni kwa ajili ya Chadema?.Mbona kama unawatupia cdm lawama wakati mchakato ulikua chini ya serikali ya chama cha mapinduzi.Hoja ya chadema kuhusu katiba mpya ni hoja kama hoja zingine zinazoweza kutolewa wakati wowote kwasababu ata wakikaa kimya hawana kitakachopungua maishani.Lakini kwasababu ni hoja za maendeleo ya nchi na wenyewe ni platform kuna shida gani ikichokoza hoja la uhitaji wa katiba mpya.mambo mengine peleka lawama kwa Ccm nasio cdm maana hadi hapa cdm imefanya mambo mengi sana ya msingi kama chama.
Katiba ni kwa ajili ya wananchi wa Tanzania. Nipe ushahidi ni lini wananchi wa Tanzania walimtuma Mbowe na Lissu kuwa tunataka Katiba Mpya sasa kuliko kujenga uchumi.

Natambua wananchi waliongea kupitia Tume ya Jaji Warioba mwaka 2014/15. Kwa sababu ambazo Samuel Sitta (RIP) na Kikwette mchakato hakufika mwisho.

Aliyefuata Mwendazake kwa miaka 5 alisema Katiba haikuwa ahadi yake kwenye kampeni. Mbowe na Lissu waliufyata kimya.

Rais SSH kasema nipeni muda kwanza nijenge uchumi. Mbowe na Lissu wanasema hatuwezi kumbembeleza. Yàani kuongoza kikundi cha wahuni cha mtaa wa Ufipa wanaona wana busara kuliko Rais aliyeapishwa kuongoza wananchi 60 Milion?
 
Kwani huyo kigogo ni mwanachama wa Chadema,au ni kiongozi gani uko chadema.maana naona watu wasiofikiria sawasawa mnamuhusisha na chadema.sijawai kuona chadema popote ikiunga harakati za kigogo za namna yoyote.ninachokijua ni kwamba kigogo anawafuasi wa kila namna na alipata wafuasi wengi kipindi anaisema serikali ya Jpm sasa hilo sidhani kama linampasisha kua mwanachama wa chadema japo kwa wakati kadhaa amewai kusaport harakati mbalimbali za chadema.Kama kuna wafusi wa vyama vya upinzani waliokua wanaunga harakati zake walifanya hivyo kwa sababu binafsi na ata sasa kigogo anapomsema Lissu anafanya kwa sababu binafsi na wanaompinga wanampinga kwa sababu binafsi.Na huo ni uhuru wa mawazo sio issue sana yakusumbua.Kigogo ana mtazamo wake na wengine wana mitazamo yao Kwahiyo mnaomuhusisha kigogo na chadema punguzeni mawenge.
 
Upinzani kama upinzani
Chadema huwa mnajisahau mjue nyie haya
Kuitwa mjinga wakati ukijua si mjinga Moyo utasumbuka
Vaeni kiatu cha aliyeitwa mjinga
Sijui
Hujanielewa!!
 
Njia zilizotumika kupima IQ ya LISSU ndizo zilizotumika kupima ya kwangu

Si unajua hata ngedere hupima IQ yake akilinganisha na ya kwako na majibu yake humpa kuwa ana IQ kubwa kuliko wewe?
 
Sawa ni maoni ya mwanakijani mmoja katili anayeamini katika ukatili na anayefurahia bambikabambika, kwake haki ni shubiri. Ni maoni tu.
Screenshot_20200510-150113.png

Nilii-save hii. Ni ya tarehe 10/5/2020 na ukiangalia muda ilikuwa ni saa 9 ya alasiri.
 
Wewe ni mgeni na posts zangu. Tafuta humu post zangu za miaka 5 nyuma uone namna nilivyowapigania CDM na vyama vya UPINZANI dhidi ya udhalimu wa Mwendazake.

Tatizo ambalo mnakosea mnataka kuifanya pengine JF ni CHADEMA, yaani vile Mbowe na Lissu wanafanya UJINGA mnakaa kimya as if nyinyi ni BAVICHA au BAWACHA.

Kama Mbowe angekuwa anakubali ushauri na kukosolewa KAMWE asingeacha msiba kwenda Mwanza na yasingempata yaliyompata. Hana busara na ndiyo maana hata Kigogo anaonekana ni mpinzani wao kwa vile HAUNGI mkono mawazo ya KIJINGA ya LISSU
Na ndicho ambacho wanakifanya. Wamemiliki Twitter yote kuifanya ni Chadema. Ukitoa mawazo ya tofauti ambayo ni ya kujenga wanakushambulia na matusi juu.

Wanataka kuifanya Jf ni Chadema kitu ambacho si kizuri na hatuwezi kuruhusu na haturuhusu Jf iwe ya CCM vilevile. Huu mtandao ubaki kuwa mtandao wa jamii huru ambapo kila mmoja atowe mawazo yake.
 
Nimekupa like umeiona mkuu?
 
Sasa hujui kupangilia uandishi ukaeleweka hoja zako wewe ni mtu au maiti?

Tangu darasa la kwanza unafundishwa jinsi ya kuandika kwa kufuata sheria za uandishi,still unakuja hapa unaanza kutuambia eti "siandiki insha",sasa unaandika mavi?

Huwezi suspend sheria sahihi za uandishi tulizofundishwa darasani kwa zaidi ya miaka 14 eti sababu umeamua,thats nonsense!

Ndio maana maandishi yako hayaeleweki maana ni poorly written!

Lissu kakuzidi IQ na wenzako wote Kigogo included maana akiwa bungeni alionesha huo uwezo,wananchi wote walijua hilo

Another proof japo sio strong sana,kwa elimu ya darasani kakuzidi wewe pamoja na Kigogo maana alisoma special school Ilboru,kasoma UDSM faculty of law katoka na first class,akaenda kusoma America Ivy League school.

Lissu anaongea vitu anavyovijua hasa,analytical skills,oratory skills,braveness etc ni unmatched.

Wakati Kigogo yupo nyuma ya keyboard Lissu yupo TZ anaivuruga serikali ya Magufuli kwa hoja mujarabu ndani na nje ya bunge na mpaka kapigwa risasi 32 akiongoza upinzani nchini,amekufa na amerudi,halafu Kigogo anakuja kuuliza Lissu's dedication to opposition in this country?

Like,really?

Fvck ya'all!

Lissu's braveness and his sacrifice to this country's opposition is not to be quetioned na motherfvckers nyuma ya keyboard...apart from ubongo wake,Lissu kamwaga damu yake..halafu wewe na Kigogo mnakuja kumfundisha Lissu how to be an opposition leader?

Mna vichaa nyie
Mkuu huyo LISSU kawazidini IQ huko chadema.
Uwezo wake wakupambanua mambo magumu ni mdogo sana,na ndio maana hata kwenye ''hard talk'' alishindwa alipokutana na waandishi wabobezi.
LISSU anazidiwa IQ hata na DIAMOND,sema mnampaisha tu.
USITISHIKE na eti kasoma nje,sijui first class kwani IQ haipimwi hivyo.
Huko bungeni unakozungumzia kweli alionyesha uwezo na ubishi na kususasusa akiishiwa point.
 
HardTalk Lissu alifaulu

Hakuna mwanasiasa yeyote wa CCM alishawahi hojiwa HardTalk maana hakuna anaeweza

With exception of Mkapa tu....Lissu bodied that interview

Lissu kazidiwa IQ na Diamond?Mkuu kua serioua na acha huu utoto na uongo

Uwezo wa Lissu bungeni was 1000 times ahead of everybody ndani ya bunge

Kila mwananchi analijua hilo,and records are there!!

Wewe ulishawahi kwenda HardTalk?Never

Ulishawahi shindana kwa hoja na serikali ya kididkteta ya Magufuli mpaka ukapigwa risasi 32?Never

Ulishawahi kulisumbua bunge la TZ up side down?Never

Ulishawahi endesha upinzani wa Tanzania/?Never

Halafu upo hapa unasema umemzidi Lissu IQ?Catalogue au CV yako ipo wapi tu-compee na ya Lissu?It is nowhere to be seen,kwanza huna!
Hardtalk alishindwa ndio maana hata mtangazaji kuna muda alikuwa tu anafunika kombe.
Bungeni kawazidi mara 1000!!!??? Sasa mbona alikuwa anakimbilia nje akizidiwa hoja?
Tena anapendapenda kuiga mambo hadi akawashawishi mandezi wenzie eti wazibe midomo kwa plasta.
TENA kweli LISSU kasumbua sana bungeni kwa vurugu zake hadi ikapelekea tukakosa katiba mpya ilopendekewa na jaji WARIOBA.
Sina haja ya kuongoza upinzani kwani tayari nipo kwenye moja ya vyama bora afrika na duniani(CCM)

Suala la kupigwa risasi 32 nalikwepa kulizungumzia kila muda lakini unaling'ang'ania tu.
Ila hata kama alipigwa na chadema,mabeberu,serikali au yoyote yule bado halihusiani na IQ yake.NALAANI tukio hilo
 
Na ndicho ambacho wanakifanya. Wamemiliki Twitter yote kuifanya ni Chadema. Ukitoa mawazo ya tofauti ambayo ni ya kujenga wanakushambulia na matusi juu.

Wanataka kuifanya Jf ni Chadema kitu ambacho si kizuri na hatuwezi kuruhusu na haturuhusu Jf iwe ya CCM vilevile. Huu mtandao ubaki kuwa mtandao wa jamii huru ambapo kila mmoja atowe mawazo yake.
Siku zote ukifanya ujinga na ukikosa wa kukusahihisha unaishia kuwa MPUMBAVU. Akina Mbowe wanataka wasifiwe tu hata ujinga. Kweli Twitter ukiwakosoa wanakutukana. At the end wamebakiwa kama kijiwe cha kahawa
 
Mbowe alishawahi kumtukana mtu Twitter ?
 
Na ndicho ambacho wanakifanya. Wamemiliki Twitter yote kuifanya ni Chadema. Ukitoa mawazo ya tofauti ambayo ni ya kujenga wanakushambulia na matusi juu.

Wanataka kuifanya Jf ni Chadema kitu ambacho si kizuri na hatuwezi kuruhusu na haturuhusu Jf iwe ya CCM vilevile. Huu mtandao ubaki kuwa mtandao wa jamii huru ambapo kila mmoja atowe mawazo yake.
Napa mtandao bambikabambika na ubakie kivyake pia na usiwapangie wengine nini chakufanya.
 
Back
Top Bottom