Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Fungua thread yako ndiyo uwekeKesi ya ugaidi nayo utakuwa umeisahau ungeendelea kuiunganisha humo kwenye legacy kabambe ya SSH.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua thread yako ndiyo uwekeKesi ya ugaidi nayo utakuwa umeisahau ungeendelea kuiunganisha humo kwenye legacy kabambe ya SSH.
Sikujua kuwa kuna mashindano!Mwaisa tunahitaji hoja jadidifu siyo vijembe!
LETE hoja kwa nini LISU asiitwe mshamba na kigogo2014?
ukizembea kigogo atashinda
Katiba ni kwa ajili ya wananchi wa Tanzania. Nipe ushahidi ni lini wananchi wa Tanzania walimtuma Mbowe na Lissu kuwa tunataka Katiba Mpya sasa kuliko kujenga uchumi.Kwani hiyo katiba ni kwa ajili ya Chadema?.Mbona kama unawatupia cdm lawama wakati mchakato ulikua chini ya serikali ya chama cha mapinduzi.Hoja ya chadema kuhusu katiba mpya ni hoja kama hoja zingine zinazoweza kutolewa wakati wowote kwasababu ata wakikaa kimya hawana kitakachopungua maishani.Lakini kwasababu ni hoja za maendeleo ya nchi na wenyewe ni platform kuna shida gani ikichokoza hoja la uhitaji wa katiba mpya.mambo mengine peleka lawama kwa Ccm nasio cdm maana hadi hapa cdm imefanya mambo mengi sana ya msingi kama chama.
Tena mi ndio hanikaribii kabisa!Kwa hiyo mwenye IQ kubwa kuliko Lissu ni wewe mkuu?
Fungua thread yako ndiyo uweke
Tena mi ndio hanikaribii kabisa!
Sema amebarikiwa kutumia ulimi kuwapumbaza watu(simlaumu sababu ndivyo wanasiasa walivyo)
Hujanielewa!!Upinzani kama upinzani
Chadema huwa mnajisahau mjue nyie haya
Kuitwa mjinga wakati ukijua si mjinga Moyo utasumbuka
Vaeni kiatu cha aliyeitwa mjinga
Sijui
Njia zilizotumika kupima IQ ya LISSU ndizo zilizotumika kupima ya kwanguNa IQ kubwa yako hiyo uliyonayo umeipima wewe mwenyewe?
Njia zilizotumika kupima IQ ya LISSU ndizo zilizotumika kupima ya kwanguNa IQ kubwa yako hiyo uliyonayo umeipima wewe mwenyewe?
Njia zilizotumika kupima IQ ya LISSU ndizo zilizotumika kupima ya kwangu
Sawa ni maoni ya mwanakijani mmoja katili anayeamini katika ukatili na anayefurahia bambikabambika, kwake haki ni shubiri. Ni maoni tu.
Na ndicho ambacho wanakifanya. Wamemiliki Twitter yote kuifanya ni Chadema. Ukitoa mawazo ya tofauti ambayo ni ya kujenga wanakushambulia na matusi juu.Wewe ni mgeni na posts zangu. Tafuta humu post zangu za miaka 5 nyuma uone namna nilivyowapigania CDM na vyama vya UPINZANI dhidi ya udhalimu wa Mwendazake.
Tatizo ambalo mnakosea mnataka kuifanya pengine JF ni CHADEMA, yaani vile Mbowe na Lissu wanafanya UJINGA mnakaa kimya as if nyinyi ni BAVICHA au BAWACHA.
Kama Mbowe angekuwa anakubali ushauri na kukosolewa KAMWE asingeacha msiba kwenda Mwanza na yasingempata yaliyompata. Hana busara na ndiyo maana hata Kigogo anaonekana ni mpinzani wao kwa vile HAUNGI mkono mawazo ya KIJINGA ya LISSU
Nimekupa like umeiona mkuu?Na ndicho ambacho wanakifanya. Wamemiliki Twitter yote kuifanya ni Chadema. Ukitoa mawazo ya tofauti ambayo ni ya kujenga wanakushambulia na matusi juu.
Wanataka kuifanya Jf ni Chadema kitu ambacho si kizuri na hatuwezi kuruhusu na haturuhusu Jf iwe ya CCM vilevile. Huu mtandao ubaki kuwa mtandao wa jamii huru ambapo kila mmoja atowe mawazo yake.
😂😂😂Nimekupa like umeiona mkuu?
Mkuu huyo LISSU kawazidini IQ huko chadema.Sasa hujui kupangilia uandishi ukaeleweka hoja zako wewe ni mtu au maiti?
Tangu darasa la kwanza unafundishwa jinsi ya kuandika kwa kufuata sheria za uandishi,still unakuja hapa unaanza kutuambia eti "siandiki insha",sasa unaandika mavi?
Huwezi suspend sheria sahihi za uandishi tulizofundishwa darasani kwa zaidi ya miaka 14 eti sababu umeamua,thats nonsense!
Ndio maana maandishi yako hayaeleweki maana ni poorly written!
Lissu kakuzidi IQ na wenzako wote Kigogo included maana akiwa bungeni alionesha huo uwezo,wananchi wote walijua hilo
Another proof japo sio strong sana,kwa elimu ya darasani kakuzidi wewe pamoja na Kigogo maana alisoma special school Ilboru,kasoma UDSM faculty of law katoka na first class,akaenda kusoma America Ivy League school.
Lissu anaongea vitu anavyovijua hasa,analytical skills,oratory skills,braveness etc ni unmatched.
Wakati Kigogo yupo nyuma ya keyboard Lissu yupo TZ anaivuruga serikali ya Magufuli kwa hoja mujarabu ndani na nje ya bunge na mpaka kapigwa risasi 32 akiongoza upinzani nchini,amekufa na amerudi,halafu Kigogo anakuja kuuliza Lissu's dedication to opposition in this country?
Like,really?
Fvck ya'all!
Lissu's braveness and his sacrifice to this country's opposition is not to be quetioned na motherfvckers nyuma ya keyboard...apart from ubongo wake,Lissu kamwaga damu yake..halafu wewe na Kigogo mnakuja kumfundisha Lissu how to be an opposition leader?
Mna vichaa nyie
Hardtalk alishindwa ndio maana hata mtangazaji kuna muda alikuwa tu anafunika kombe.HardTalk Lissu alifaulu
Hakuna mwanasiasa yeyote wa CCM alishawahi hojiwa HardTalk maana hakuna anaeweza
With exception of Mkapa tu....Lissu bodied that interview
Lissu kazidiwa IQ na Diamond?Mkuu kua serioua na acha huu utoto na uongo
Uwezo wa Lissu bungeni was 1000 times ahead of everybody ndani ya bunge
Kila mwananchi analijua hilo,and records are there!!
Wewe ulishawahi kwenda HardTalk?Never
Ulishawahi shindana kwa hoja na serikali ya kididkteta ya Magufuli mpaka ukapigwa risasi 32?Never
Ulishawahi kulisumbua bunge la TZ up side down?Never
Ulishawahi endesha upinzani wa Tanzania/?Never
Halafu upo hapa unasema umemzidi Lissu IQ?Catalogue au CV yako ipo wapi tu-compee na ya Lissu?It is nowhere to be seen,kwanza huna!
Siku zote ukifanya ujinga na ukikosa wa kukusahihisha unaishia kuwa MPUMBAVU. Akina Mbowe wanataka wasifiwe tu hata ujinga. Kweli Twitter ukiwakosoa wanakutukana. At the end wamebakiwa kama kijiwe cha kahawaNa ndicho ambacho wanakifanya. Wamemiliki Twitter yote kuifanya ni Chadema. Ukitoa mawazo ya tofauti ambayo ni ya kujenga wanakushambulia na matusi juu.
Wanataka kuifanya Jf ni Chadema kitu ambacho si kizuri na hatuwezi kuruhusu na haturuhusu Jf iwe ya CCM vilevile. Huu mtandao ubaki kuwa mtandao wa jamii huru ambapo kila mmoja atowe mawazo yake.
Mbowe alishawahi kumtukana mtu Twitter ?Siku zote ukifanya ujinga na ukikosa wa kukusahihisha unaishia kuwa MPUMBAVU. Akina Mbowe wanataka wasifiwe tu hata ujinga. Kweli Twitter ukiwakosoa wanakutukana. At the end wamebakiwa kama kijiwe cha kahawa
Napa mtandao bambikabambika na ubakie kivyake pia na usiwapangie wengine nini chakufanya.Na ndicho ambacho wanakifanya. Wamemiliki Twitter yote kuifanya ni Chadema. Ukitoa mawazo ya tofauti ambayo ni ya kujenga wanakushambulia na matusi juu.
Wanataka kuifanya Jf ni Chadema kitu ambacho si kizuri na hatuwezi kuruhusu na haturuhusu Jf iwe ya CCM vilevile. Huu mtandao ubaki kuwa mtandao wa jamii huru ambapo kila mmoja atowe mawazo yake.