Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Kwahiyo wewe unatoka njia ipi itumike kudai katiba?

Wakati umeshaambiwa katiba isubiri kwanza?


Shauri njia gani sio kulaumu tu watu hapa!!
 
Kweli kabisa
 
Ubaya ni ubaya tu, mtu mwovu hukuwekea mitego ili akuangamize, iwe uovu ulifanywa na nani kundi la waovu ni waovu tu, hakuna mwema katika kundi la waovu, iwapo unjidanganya kaa tulia tafakari utakuja na mrejesho, kama kweli upo kundi lisilokuwa sahihi kwako.
 
Mm sio mwanasiasa
Ila CDM ni wanafiki sijawai ona
hawajamaa wakipewa Nchi haki ya mama tutaapata tabu sana ambayo haijawai tokea dunia hii[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23]
Ni madikteta, hawataki hata kukosolewa..Wlimtukana Lowassa miaka 8, then wakaja kumpokea na kumjaza sifa zote, ajitokeze hapa mwanachadema kuutetea uamuzi wa kumchukua Lowassa 2015
 
Kwahiyo wewe unatoka njia ipi itumike kudai katiba?

Wakati umeshaambiwa katiba isubiri kwanza?


Shauri njia gani sio kulaumu tu watu hapa!!
Rais huyu kasema Katiba isubiri apange uçhumi kwanza. Mwendazake alisema Katiba mpya siyo ahadi yake ya kampeni. Hakuna mtu alimuuliza mpaka anakufa.

Huyu ana siku 120 kwenye ofisi kiungwana kabisa kaomba muda. Kwa ushauri wangu tungemuacha hadi mwaka mmoja uishe ndipo tumuulize tena.

Kitendo cha kujifanya tunaijua nchi kuliko yeye na wakati Mbowe na Lissu walishiriki kula Mabilioni ya Bunge la Katiba mwaka 2014 na wasitupatie Katiba siyo FAIR
 

..CCM hata wabembelezwe vipi lazima watakuja na sababu za kuwadhulumu Chadema, na vyama vingine vya upinzani.

..ni bahati mbaya sana kwamba wamezoea siasa za hila na dhuluma, na hawawezi kabisa kupambana kwa hoja.

..Rais SSH alishaonyesha dalili za muelekeo mbaya alipoanza kudai wapinzani wamchukulie kama mama yao mzazi, na alipoita wale wasiokubaliana naye waleta chokochoko.

..yeyote asiyekubaliana na CCM huwa hajibiwi kwa hoja, bali hupewa jina baya kama, msaliti, mchochezi, au mleta chokochoko, ili ashughulikiwe na Polisi na Mahakama zinazoamrishwa na CCM.
 
Usisahau kuna dude linaitwa system....madam president kwa hulka na haiba yake ya utu unafikiri hilo dude lililosheheni wanufaika watakubali? Usisahau hilo dude liliishi kwa shida bila amani wakati wa mwenzake sasa ni wakati wa kupumua.je watakua tayari kuona wanakaa mezani na watesi wao?
 
Hapo ndiyo tofauti kati ya viongozi wenye busara na wenye mihemuko ilipo.

Na musipowakosoa ndiyo wanazidi kuwa WAJINGA
 
GOD BLESS YOU. UMEONGEA UKWELI MKUBWA KUPITILIZA. WAMEPOTEZA FURSA ISIYOELEZEKA KWA KIBURI CHAO. WANGEMTEGA MAMA KWA KUMPATIA MUDA WA MWAKA AU ANGALAU MIEZI SITA HALAFU WAKAFANYA HAYA MASHINIKIZO WANAYOFANYA SASA. DUNIA INGEWAELEWA NA KWA KWELI DUNIA INGEKUA UPANDE WAO. NOW THEY HAVE WAISTED IT AND IT IS OVER.
 
Huu ni ukweli mchungu.
 
Mh Tundu umejisifia sana. Acha watu wakusifia wewe mnyampaa
 
Mkuu Kigogo yuposawa Lissu ni mshamba tu na atabaki kuwa mshamba, kuwa Ulaya hakukufanyi mtu usiwe mshamba, ushamba ni tabia na matendo ya mtu, Lissu ni mshamba na fala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…