Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ukiona hivyo muda wake unapita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ubarikiwe sana.Kigogo ni huyo February , Kwa sasa amehamisha mashambulizi Kwa Chadema sababu ameona biggest threat kwake ambaye alikuwa ni jiwe sasa hayupo na kuelekea 2025 atapiga U-turn yeye na watoto wa vigogo wa CCM, kujitaftia madaraka na kumpiga chini SSH , mda haujawahi kudanganya
Hyo ndyo mistake waliyoifanya wanajutia na wataendelea kujutia moyoni mwao daimaNasimama na Kigogo, katika siku 100 za kwanza CDM walikuwa ndiyo wanufaika wakuu wa uongozi wa Samia mpaka humu ndani kuna thread inasema "Je Samia ni CHADEMA".
Na wakamsifia kuwa anaupiga mwingi. Kama Mbowe angekuwa na busara kidogo alipaswa amu handle Rais SSH kwa namna alivyo. Yaani kama mtu ni brutal na wewe unakuwa brutal. Kama mtu ni muungwana unampinga kiungwana. Wame mu approach Mama kwa kiburi na dharau sana mpaka wanataka wampangie ratiba ya lini akutane na CDM.
Hiyo miscalculation imeirudisha CDM miaka 10, take it from me
Mgambo wanaruka na kukanyagana.
Hii ni kama vita ya Panzi.
Ushamba ni kutumika na baadhi ya mabeberu tuwekewe VIKWAZO.....Mshamba ni nani?
Mshamba ni yule anayejificha nyuma ya kibodi na kuwashambulia wengine au anapambana kwa kujitokeza na kuongea bila kupepesa macho kama Tundu Lissu anavyofanya?
Mshamba ni nani yule aliyeanza kupigania haki toka akiwa shule ya msingi, Sekondari, JKT na kuendelea au yule aliyeanza kujificha nyuma ya kibodi baada ya serikali kuvunja nyumba yake Kimara?
Mshamba ni yupi? Ambaye anaweza kumtukana kila mtu kisa tu kamkosoa au ni yule anayetumia hoja kujibu hoja za wale wote wanaomshambulia?.
Kuwablock watu wanaomkosoa kwenye post zake sio ushamba? Yaani mtu anapokukosoa ni adui yako wewe ni malaika Mbona Tundu Lissu hata Siro hajawai kumtukana ila uwa anamjibu kwa hoja?
Kwangu Mimi mshamba ni yule asiyejua anafanya nini, Anataka nini, Anapataje lini na wapi? Kumtukana kila mtu ni ushamba sana.
Imagine mtu anamtukana na kumzalilisha mtoto kama Zuchu au Nandy watu ambao hawaelewi maana ya siasa ni nini baada ya kuwapa elimu ya uraia wewe unatoka kuwatukana tu and you don't care!
Kwa taarifa Kigogo ni mtoto mdogo mno kwenye siasa za nchi hii harakati zako hazijafikisha hata miaka 10 wakati Tundu Lissu ameanza harakati miaka ya 1990 wewe jiulize ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini?
Kigogo awaulize waliokuwepo kwenye utawala wa Mkapa walivyopambana na Tundu Lissu na Lissu kushinda miaka huyo hata twitter ilikuwa hakuna.
Waulize waliojaribu kumhonga Tundu Lissu kwenye utawala wa Mkapa ili aache kuwatetea watu waliokuwa wanatolewa maeneo ya migodi kwa nguvu kwenye mikoa ya Shinyanga, Mpanda, Tabota, Geita, Mara na Kagera watakupa majibu.
Lissu angekuwa mshamba si angechukua tu pesa za wazungu na kuachana na kuwatetea wananchi?
Tundu lissu miaka yote amekuwa akifanya kazi field tena akiwa sambamba na mke wake akiwa front line kabisa nafikiri hata mwaka Jana alipokuja kufanya kampeni bado mliona alivyokuwa akisumbuana na Police kule Nyamongo na kwingine.
Sasa wewe ndugu yetu unamuita mtu mshamba ambaye yupo ulaya kwa kufanyiwa operation zaidi ya 25 baada ya kupigwa risasi halafu wewe upo ulaya nyuma ya kibodi.
Afadhari Lissu hata akifa leo Mungu akipenda historia ya Maisha yake tayari kashaimaliza historia aliyonayo ni kubwa mno.
Washamba ujificha, Washamba upanic, Washamba ujifanya wanajua kila kitu ili wasikosolewe, Washamba uzusha, hakika Washamba wakikosa ajenda ya kusimamia uwa wanaona kila binadamu ni adui wa maendeleo yao.
Wanaharakati wote duniani uwa hawapambani na mtu uwa wanapambana na mifumo, Jifunze kwa wanaharakati kama wakina Martin Luther King JR na wengine walipambana na mifumo na wakaja kushinda hata kama walikuwa hawapo tena.
Yaani unamtukana Tundu Lissu halafu unamsifia Mbowe? Wakati Mbowe na Tundu Lissu ufahamu hata walikutana vipi?
Kama wewe ni mwanamageuzi kweli njoo na I'd yako original na uje front line uongoze maandamano unayoyapigia kelele, njoo uanzishe chama ukiendeshe kiwe kikubwa kama angalau ACT.
Lissu mageuzi na mapambano aliyoyafanya yanatosha kabisa hata leo akistaafu siasa ila najiuliza kigogo ameshafanya kitu gani zaidi ya kutukana watu?
Mambo ya kuita watu washamba ni ushamba pia.
Propaganda za kijaniNenda jamuhuli ya watu wa Twitter utakuta kigogo kachafukwa mpaka anamwita lissu choko
Lissu mshamba tuMshamba ni nani?

Na ndio mfadhili mkuu wa kigogo wakiwa pamoja na Nape, Ridhiwani.
Hata ni kama ile timu ya Kikwete Lowassa na Rostam Azziz.
Mistake kubwa Sana anajutia huko alipoMpaka unajiuliza nini kimewapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika.
Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia. Shenz taipu Bladifakeni Mbowe
..vikwazo vitawekwa kwasababu ya DHULUMA za CCM dhidi ya wananchi na haswa wapinzani.Ushamba ni kutumika na baadhi ya mabeberu tuwekewe VIKWAZO.....
Ushamba ni kuwatumia David Mc Allister na Robert Amsterdam kurukaruka na hoja zisizo tija kwa maslahi mapana ya nchi.....
#KaziIendelee
#SiempreSSH
Propaganda za kijani kuwapoteza wadai wenu wa katiba mpya na kesi ya ugaidi wasiweze kuwauliza maswali ya msingi , msikubali wabananisheni, Hadi waite maji mmma.Lissu mshamba tu
Bila kusahau swala la umbambikaji vyesi.Propaganda za kijani kuwapoteza wadai wenu wa katiba mpya na kesi ya ugaidi wasiweze kuwauliza maswali ya msingi , msikubali wabananisheni, Hadi waite maji mmma.
Unamkemeaje mtu usiye mjua na kumtambua aka alias dhidi ya mtu anayejulikana mwenye utashi na profile iliyo wazi. It is a wastage of time. Ni sawa na kupiga pulling system ukitegemea mimbaMshamba ni nani?
Mshamba ni yule anayejificha nyuma ya kibodi na kuwashambulia wengine au anapambana kwa kujitokeza na kuongea bila kupepesa macho kama Tundu Lissu anavyofanya?
Mshamba ni nani yule aliyeanza kupigania haki toka akiwa shule ya msingi, Sekondari, JKT na kuendelea au yule aliyeanza kujificha nyuma ya kibodi baada ya serikali kuvunja nyumba yake Kimara?
Mshamba ni yupi? Ambaye anaweza kumtukana kila mtu kisa tu kamkosoa au ni yule anayetumia hoja kujibu hoja za wale wote wanaomshambulia?.
Kuwablock watu wanaomkosoa kwenye post zake sio ushamba? Yaani mtu anapokukosoa ni adui yako wewe ni malaika Mbona Tundu Lissu hata Siro hajawai kumtukana ila uwa anamjibu kwa hoja?
Kwangu Mimi mshamba ni yule asiyejua anafanya nini, Anataka nini, Anapataje lini na wapi? Kumtukana kila mtu ni ushamba sana.
Imagine mtu anamtukana na kumzalilisha mtoto kama Zuchu au Nandy watu ambao hawaelewi maana ya siasa ni nini baada ya kuwapa elimu ya uraia wewe unatoka kuwatukana tu and you don't care!
Kwa taarifa Kigogo ni mtoto mdogo mno kwenye siasa za nchi hii harakati zako hazijafikisha hata miaka 10 wakati Tundu Lissu ameanza harakati miaka ya 1990 wewe jiulize ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini?
Kigogo awaulize waliokuwepo kwenye utawala wa Mkapa walivyopambana na Tundu Lissu na Lissu kushinda miaka huyo hata twitter ilikuwa hakuna.
Waulize waliojaribu kumhonga Tundu Lissu kwenye utawala wa Mkapa ili aache kuwatetea watu waliokuwa wanatolewa maeneo ya migodi kwa nguvu kwenye mikoa ya Shinyanga, Mpanda, Tabota, Geita, Mara na Kagera watakupa majibu.
Lissu angekuwa mshamba si angechukua tu pesa za wazungu na kuachana na kuwatetea wananchi?
Tundu lissu miaka yote amekuwa akifanya kazi field tena akiwa sambamba na mke wake akiwa front line kabisa nafikiri hata mwaka Jana alipokuja kufanya kampeni bado mliona alivyokuwa akisumbuana na Police kule Nyamongo na kwingine.
Sasa wewe ndugu yetu unamuita mtu mshamba ambaye yupo ulaya kwa kufanyiwa operation zaidi ya 25 baada ya kupigwa risasi halafu wewe upo ulaya nyuma ya kibodi.
Afadhari Lissu hata akifa leo Mungu akipenda historia ya Maisha yake tayari kashaimaliza historia aliyonayo ni kubwa mno.
Washamba ujificha, Washamba upanic, Washamba ujifanya wanajua kila kitu ili wasikosolewe, Washamba uzusha, hakika Washamba wakikosa ajenda ya kusimamia uwa wanaona kila binadamu ni adui wa maendeleo yao.
Wanaharakati wote duniani uwa hawapambani na mtu uwa wanapambana na mifumo, Jifunze kwa wanaharakati kama wakina Martin Luther King JR na wengine walipambana na mifumo na wakaja kushinda hata kama walikuwa hawapo tena.
Yaani unamtukana Tundu Lissu halafu unamsifia Mbowe? Wakati Mbowe na Tundu Lissu ufahamu hata walikutana vipi?
Kama wewe ni mwanamageuzi kweli njoo na I'd yako original na uje front line uongoze maandamano unayoyapigia kelele, njoo uanzishe chama ukiendeshe kiwe kikubwa kama angalau ACT.
Lissu mageuzi na mapambano aliyoyafanya yanatosha kabisa hata leo akistaafu siasa ila najiuliza kigogo ameshafanya kitu gani zaidi ya kutukana watu?
Mambo ya kuita watu washamba ni ushamba pia.
Nimekuelewa mkuu, ila sometimes inabidi uwe kichaa ili ukubalike na vichaa wenzakoJanuary? January huyu huyu? Hizo akili kapata lini? Au zile tweet ndio zinakuongopea?
Nakukumbusha tu leo tunamlaumu mwigulu kwa kuleta tozo kwenye miamala
Ila hata January makamba ndio alieleta Sheria ya kipumbavu na ya kinyonyaji ya cyber crime act mwanzoni mwa 2015
Mkuu na wewe weka ID yako ili upopoane na wananzengo liveMshamba ni nani?
Mshamba ni yule anayejificha nyuma ya kibodi na kuwashambulia wengine au anapambana kwa kujitokeza na kuongea bila kupepesa macho kama Tundu Lissu anavyofanya?
Mshamba ni nani yule aliyeanza kupigania haki toka akiwa shule ya msingi, Sekondari, JKT na kuendelea au yule aliyeanza kujificha nyuma ya kibodi baada ya serikali kuvunja nyumba yake Kimara?
Mshamba ni yupi? Ambaye anaweza kumtukana kila mtu kisa tu kamkosoa au ni yule anayetumia hoja kujibu hoja za wale wote wanaomshambulia?.
Kuwablock watu wanaomkosoa kwenye post zake sio ushamba? Yaani mtu anapokukosoa ni adui yako wewe ni malaika Mbona Tundu Lissu hata Siro hajawai kumtukana ila uwa anamjibu kwa hoja?
Kwangu Mimi mshamba ni yule asiyejua anafanya nini, Anataka nini, Anapataje lini na wapi? Kumtukana kila mtu ni ushamba sana.
Imagine mtu anamtukana na kumzalilisha mtoto kama Zuchu au Nandy watu ambao hawaelewi maana ya siasa ni nini baada ya kuwapa elimu ya uraia wewe unatoka kuwatukana tu and you don't care!
Kwa taarifa Kigogo ni mtoto mdogo mno kwenye siasa za nchi hii harakati zako hazijafikisha hata miaka 10 wakati Tundu Lissu ameanza harakati miaka ya 1990 wewe jiulize ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini?
Kigogo awaulize waliokuwepo kwenye utawala wa Mkapa walivyopambana na Tundu Lissu na Lissu kushinda miaka huyo hata twitter ilikuwa hakuna.
Waulize waliojaribu kumhonga Tundu Lissu kwenye utawala wa Mkapa ili aache kuwatetea watu waliokuwa wanatolewa maeneo ya migodi kwa nguvu kwenye mikoa ya Shinyanga, Mpanda, Tabota, Geita, Mara na Kagera watakupa majibu.
Lissu angekuwa mshamba si angechukua tu pesa za wazungu na kuachana na kuwatetea wananchi?
Tundu lissu miaka yote amekuwa akifanya kazi field tena akiwa sambamba na mke wake akiwa front line kabisa nafikiri hata mwaka Jana alipokuja kufanya kampeni bado mliona alivyokuwa akisumbuana na Police kule Nyamongo na kwingine.
Sasa wewe ndugu yetu unamuita mtu mshamba ambaye yupo ulaya kwa kufanyiwa operation zaidi ya 25 baada ya kupigwa risasi halafu wewe upo ulaya nyuma ya kibodi.
Afadhari Lissu hata akifa leo Mungu akipenda historia ya Maisha yake tayari kashaimaliza historia aliyonayo ni kubwa mno.
Washamba ujificha, Washamba upanic, Washamba ujifanya wanajua kila kitu ili wasikosolewe, Washamba uzusha, hakika Washamba wakikosa ajenda ya kusimamia uwa wanaona kila binadamu ni adui wa maendeleo yao.
Wanaharakati wote duniani uwa hawapambani na mtu uwa wanapambana na mifumo, Jifunze kwa wanaharakati kama wakina Martin Luther King JR na wengine walipambana na mifumo na wakaja kushinda hata kama walikuwa hawapo tena.
Yaani unamtukana Tundu Lissu halafu unamsifia Mbowe? Wakati Mbowe na Tundu Lissu ufahamu hata walikutana vipi?
Kama wewe ni mwanamageuzi kweli njoo na I'd yako original na uje front line uongoze maandamano unayoyapigia kelele, njoo uanzishe chama ukiendeshe kiwe kikubwa kama angalau ACT.
Lissu mageuzi na mapambano aliyoyafanya yanatosha kabisa hata leo akistaafu siasa ila najiuliza kigogo ameshafanya kitu gani zaidi ya kutukana watu?
Mambo ya kuita watu washamba ni ushamba pia.
Mkuu Kigogo amekufanya umekiri mwenyewe kuwa wewe pia unayejificha kwenye key board yako kuitukana serikali ni mshamba. Lissu ni mshamba sana, Kigogo na wewe pia ni washamba. Historia itamkumbuka Lissu kama wakala wa mabeberu na Mbowe kama gaidi.Mshamba ni nani?

The best post of all time, kongole mkuuMkuu Kigogo amekufanya umekiri mwenyewe kuwa wewe pia unayejificha kwenye key board yako kuitukana serikali ni mshamba. Lissu ni mshamba sana, Kigogo na wewe pia ni washamba. Historia itamkumbuka Lissu kama wakala wa mabeberu na Mbowe kama gaidi.