Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa nilijua atakua ni snitch tu tokea mwanzoni ingawa binafsi nikajisemea nisiwe judgemental-Nijipe muda,lakin uhalisia ni kwamba haaminiki-Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia purukushani zake dhidi ya Mo mwanzoni kwamba anaidalalia simba and other issues and now anavyomsifia utaelewa ni mtu anayekuwa influenced na pesa kuuza wengine.CDM ni lazima wawe macho kweli kweli na until now thanks wamekuwa macho.Nilimu unfollow kabisa, jamaa anatukana sana, mwanzo nilimuona mtu wa maana. Hivi sasa nikitaka taarifa za upinzani nime wa follow kina lissu wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigogo ni wa hovyo sana. Yeye kila anayepita mbele yake anamshushia matusi tu, yani ana ujuaji mwingi mno mpaka anaboa. Na CDM lazima amewauza yuleJamaa nilijua atakua ni snitch tu tokea mwanzoni ingawa binafsi nikajisemea nisiwe judgemental-Nijipe muda,lakin uhalisia ni kwamba haaminiki-Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia purukushani zake dhidi ya Mo mwanzoni kwamba anaidalalia simba and other issues and now anavyomsifia utaelewa ni mtu anayekuwa influenced na pesa kuuza wengine.CDM ni lazima wawe macho kweli kweli na until now thanks wamekuwa macho.
Kwa hiyo wana Chadema ndio walio mpandisha juu kwa haraka Kigogo?Mwisho wa Kigogo umekaribia, sasa atakuwa anasubiri matukio tu yampandishe chati, ameanza kupoteza support aliyokuwa nayo mwanzo kwa haraka sana.
Tuliwaambia kifo cha magufuli mnacho kishangilia leo, kesho mtajutia sasa mmeanza kutiana ndole wenyewe kwa wenyeweSiamini unachokisema. Yaani Kigogo amseme vibaya Lissu? Hapana.
Hata ni feki, siyo kigogo, ni hujuma za maccmSiamini unachokisema. Yaani Kigogo amseme vibaya Lissu? Hapana.
Mshamba ni nani?
Mshamba ni yule anayejificha nyuma ya kibodi na kuwashambulia wengine au anapambana kwa kujitokeza na kuongea bila kupepesa macho kama Tundu Lissu anavyofanya?
Mshamba ni nani yule aliyeanza kupigania haki toka akiwa shule ya msingi, Sekondari, JKT na kuendelea au yule aliyeanza kujificha nyuma ya kibodi baada ya serikali kuvunja nyumba yake Kimara?
Mshamba ni yupi? Ambaye anaweza kumtukana kila mtu kisa tu kamkosoa au ni yule anayetumia hoja kujibu hoja za wale wote wanaomshambulia?.
Kuwablock watu wanaomkosoa kwenye post zake sio ushamba? Yaani mtu anapokukosoa ni adui yako wewe ni malaika Mbona Tundu Lissu hata Siro hajawai kumtukana ila uwa anamjibu kwa hoja?
Kwangu Mimi mshamba ni yule asiyejua anafanya nini, Anataka nini, Anapataje lini na wapi? Kumtukana kila mtu ni ushamba sana.
Imagine mtu anamtukana na kumzalilisha mtoto kama Zuchu au Nandy watu ambao hawaelewi maana ya siasa ni nini baada ya kuwapa elimu ya uraia wewe unatoka kuwatukana tu and you don't care!
Kwa taarifa Kigogo ni mtoto mdogo mno kwenye siasa za nchi hii harakati zako hazijafikisha hata miaka 10 wakati Tundu Lissu ameanza harakati miaka ya 1990 wewe jiulize ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini?
Kigogo awaulize waliokuwepo kwenye utawala wa Mkapa walivyopambana na Tundu Lissu na Lissu kushinda miaka huyo hata twitter ilikuwa hakuna.
Waulize waliojaribu kumhonga Tundu Lissu kwenye utawala wa Mkapa ili aache kuwatetea watu waliokuwa wanatolewa maeneo ya migodi kwa nguvu kwenye mikoa ya Shinyanga, Mpanda, Tabota, Geita, Mara na Kagera watakupa majibu.
Lissu angekuwa mshamba si angechukua tu pesa za wazungu na kuachana na kuwatetea wananchi?
Tundu lissu miaka yote amekuwa akifanya kazi field tena akiwa sambamba na mke wake akiwa front line kabisa nafikiri hata mwaka Jana alipokuja kufanya kampeni bado mliona alivyokuwa akisumbuana na Police kule Nyamongo na kwingine.
Sasa wewe ndugu yetu unamuita mtu mshamba ambaye yupo ulaya kwa kufanyiwa operation zaidi ya 25 baada ya kupigwa risasi halafu wewe upo ulaya nyuma ya kibodi.
Afadhari Lissu hata akifa leo Mungu akipenda historia ya Maisha yake tayari kashaimaliza historia aliyonayo ni kubwa mno.
Washamba ujificha, Washamba upanic, Washamba ujifanya wanajua kila kitu ili wasikosolewe, Washamba uzusha, hakika Washamba wakikosa ajenda ya kusimamia uwa wanaona kila binadamu ni adui wa maendeleo yao.
Wanaharakati wote duniani uwa hawapambani na mtu uwa wanapambana na mifumo, Jifunze kwa wanaharakati kama wakina Martin Luther King JR na wengine walipambana na mifumo na wakaja kushinda hata kama walikuwa hawapo tena.
Yaani unamtukana Tundu Lissu halafu unamsifia Mbowe? Wakati Mbowe na Tundu Lissu ufahamu hata walikutana vipi?
Kama wewe ni mwanamageuzi kweli njoo na I'd yako original na uje front line uongoze maandamano unayoyapigia kelele, njoo uanzishe chama ukiendeshe kiwe kikubwa kama angalau ACT.
Lissu mageuzi na mapambano aliyoyafanya yanatosha kabisa hata leo akistaafu siasa ila najiuliza kigogo ameshafanya kitu gani zaidi ya kutukana watu?
Mambo ya kuita watu washamba ni ushamba pia.
Wee mjane endelea kuomboleza!Ameanza kuwacharaza mnabweka
Nenda kaolewe naye!Mmh!
Leo kigogo amekuwa MPUMBAVU kisa kamwambia ukweli mtu wenu mnayem overrate.
Tufikie hatua ukiambiwa ukweli tujisahihishi sio anayekuambia ukweli labda ana CHUKI na wewe.
Kigogo yupo sahihi.
Kigogo amepoteza pakubwaMwisho wa Kigogo umekaribia, sasa atakuwa anasubiri matukio tu yampandishe chati, ameanza kupoteza support aliyokuwa nayo mwanzo kwa haraka sana.
Kwa hiyo ulitaka mbowe apinge maamuzi kamati kuu ya chama chake?Umeandika ukweli sahihi mbowe siku zote alikuwaga na busara na hekima ila licha ya kusikilizwa na kuheshimiwa sijui mbowe ni kichaa gani kilimpanda na kutaka kumfanya Samia aonekane dhaifu ona sasa yuko jela pekee yake. CDM kwa Samia walitumia wrong approach kiasi mama hasikilizii yoyote na CDM itapotea wasipobadilika na kuendeleza harakati bila good calculations, sio siri napenda mabadiliko ila mbowe na CDM walikosa vision ya jinsi ya ku deal na Samia, nchi hii inahitaji upinzani makini usio na mihemko kusaidia taifa.
Sijaona mtu wakulipambania Taifa hiliSiasa wewe haikuhusu kumbe? Tozo wewe aukatwi? Watoto wako hawakatwi tozo za kihuni?
Mama yako na babako na ndugu zako hawakatwi tozo za kihuni?
Kama hawakatwi basi upo sahihi!!
Lissu na kigogo mbona wote hawajitambui wanafanya nn.Acha kutupotezea muda.Mshamba ni nani?
Mshamba ni yule anayejificha nyuma ya kibodi na kuwashambulia wengine au anapambana kwa kujitokeza na kuongea bila kupepesa macho kama Tundu Lissu anavyofanya?
Mshamba ni nani yule aliyeanza kupigania haki toka akiwa shule ya msingi, Sekondari, JKT na kuendelea au yule aliyeanza kujificha nyuma ya kibodi baada ya serikali kuvunja nyumba yake Kimara?
Mshamba ni yupi? Ambaye anaweza kumtukana kila mtu kisa tu kamkosoa au ni yule anayetumia hoja kujibu hoja za wale wote wanaomshambulia?.
Kuwablock watu wanaomkosoa kwenye post zake sio ushamba? Yaani mtu anapokukosoa ni adui yako wewe ni malaika Mbona Tundu Lissu hata Siro hajawai kumtukana ila uwa anamjibu kwa hoja?
Kwangu Mimi mshamba ni yule asiyejua anafanya nini, Anataka nini, Anapataje lini na wapi? Kumtukana kila mtu ni ushamba sana.
Imagine mtu anamtukana na kumzalilisha mtoto kama Zuchu au Nandy watu ambao hawaelewi maana ya siasa ni nini baada ya kuwapa elimu ya uraia wewe unatoka kuwatukana tu and you don't care!
Kwa taarifa Kigogo ni mtoto mdogo mno kwenye siasa za nchi hii harakati zako hazijafikisha hata miaka 10 wakati Tundu Lissu ameanza harakati miaka ya 1990 wewe jiulize ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini?
Kigogo awaulize waliokuwepo kwenye utawala wa Mkapa walivyopambana na Tundu Lissu na Lissu kushinda miaka huyo hata twitter ilikuwa hakuna.
Waulize waliojaribu kumhonga Tundu Lissu kwenye utawala wa Mkapa ili aache kuwatetea watu waliokuwa wanatolewa maeneo ya migodi kwa nguvu kwenye mikoa ya Shinyanga, Mpanda, Tabota, Geita, Mara na Kagera watakupa majibu.
Lissu angekuwa mshamba si angechukua tu pesa za wazungu na kuachana na kuwatetea wananchi?
Tundu lissu miaka yote amekuwa akifanya kazi field tena akiwa sambamba na mke wake akiwa front line kabisa nafikiri hata mwaka Jana alipokuja kufanya kampeni bado mliona alivyokuwa akisumbuana na Police kule Nyamongo na kwingine.
Sasa wewe ndugu yetu unamuita mtu mshamba ambaye yupo ulaya kwa kufanyiwa operation zaidi ya 25 baada ya kupigwa risasi halafu wewe upo ulaya nyuma ya kibodi.
Afadhari Lissu hata akifa leo Mungu akipenda historia ya Maisha yake tayari kashaimaliza historia aliyonayo ni kubwa mno.
Washamba ujificha, Washamba upanic, Washamba ujifanya wanajua kila kitu ili wasikosolewe, Washamba uzusha, hakika Washamba wakikosa ajenda ya kusimamia uwa wanaona kila binadamu ni adui wa maendeleo yao.
Wanaharakati wote duniani uwa hawapambani na mtu uwa wanapambana na mifumo, Jifunze kwa wanaharakati kama wakina Martin Luther King JR na wengine walipambana na mifumo na wakaja kushinda hata kama walikuwa hawapo tena.
Yaani unamtukana Tundu Lissu halafu unamsifia Mbowe? Wakati Mbowe na Tundu Lissu ufahamu hata walikutana vipi?
Kama wewe ni mwanamageuzi kweli njoo na I'd yako original na uje front line uongoze maandamano unayoyapigia kelele, njoo uanzishe chama ukiendeshe kiwe kikubwa kama angalau ACT.
Lissu mageuzi na mapambano aliyoyafanya yanatosha kabisa hata leo akistaafu siasa ila najiuliza kigogo ameshafanya kitu gani zaidi ya kutukana watu?
Mambo ya kuita watu washamba ni ushamba pia.
Sasa yeye kwanini wanaotoa maoni tofauti na yeye anawablock?
Yule ana stress za maisha tu na hana pesa mfukoni ndio maana anaangaika.
Mkuu tumia akili wewe unapambana na dola yet unajipeleka kwenye mitego then umedakwa uko ndani hamna kinachoendelea badala ya kuwa smart kukwepa mitego unaendelea kulaumu kwa kutumia njia zile zile zilizo feliKwa hiyo ulitaka mbowe apinge maamuzi kamati kuu ya chama chake?
Je ni halali kumtengenezea mpinzani mashitaka ya kubambika kwa kudai katiba mpya