Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Salaam Mkuu Erythrocyte .
Mbona kama sijakuelewa? Kwani Mfumo unahusikaje na hii biashara haramu? Kama unawahamu wachache ambao bado wanalindwa, naomba utumie jukwaa hii kuwaweka hadharani.
Ahsante
​
Kusoma hujui na picha nazo zinakushinda? Wakiwekwa hadharani ndiyo itakuwaje sasa wakati unaona hii serikali ndiyo mishe zake. Huyu atakuwa ameingilia anga za mtu mkubwa au amepunja mgao na si ajabu ukakuta ni kazi ya Abdul na kundi lake. Bila hawa watu kuondolewa hata ubandike majina wapi, ni bure tu.
 
Mkuu
Id yako na ulichoandika vinafanana sikupingi
 
Walisema TEC walikuwa wanapinga DP World sababu ya kupitisha dili zao chafu kama madawati ya kulevya,huyo aliyekamatwa ni katekista au padri wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…