Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

Ndo nashangaa hapo muuza ngada anaweza kusifiwa ck akapuuzwa
Jamaa hakuwekeza kwenye rasilimali yeyote? Hata km alitumbuliwa lakin kwa level aliyokkuwa nayo sio wa kuuza mishikaki hii sio kawaida nifunzo kubwa sana
Alishindwa hata kununua bajaji 10 kwa siku bjj1 elf20 tms10 lak2 kwa siku hahahahahaha aisee mi ningerud kijijin kulima
 
Mkuu CK pambana,ni maisha tu...umeonyesha wewe ni mwanaume wa ukweli.Hujakimbia mji wala kujifanya kung'ang'ania status ambayo haunayo tena.Aluta continua!!!
 
mtu ulikuwa unahonga mamilioni halafu unarudi kuuza mishikaki?hukuwekeza?wapi kina wema wakuokoe?
 
Pesa ina visa vingi. ....kesho utasikia mtu mwingine nae kafilisika kwa kuhonga
 
kuuza mishikaki siyo kosa. Kosa ni kuiba pesa zetu walipa kodi na kuhonga vimwana yva mujini.

Mwizi anapelekwa mahakamani. Ku attack kazi anayoifanya ya halali baada ya kuiba, bila kumchukulia hatua, kunarejeshaje fedha alizoiba?
 
kuuza mishikaki hakuna ubaya, ila mazingira ya muuzaji yana simulizi,na yanafikilisha!
CK ni bonge la mpambanaji, unapopata tumia, unapokosa jutia.
Mwizi anapelekwa mahakamani. Ku attack kazi anayoifanya ya halali baada ya kuiba, bila kumchukulia hatua, kunarejeshaje fedha alizoiba?
ugumu wa maisha kipimo cha akiri
Pesa ina visa vingi. ....kesho utasikia mtu mwingine nae kafilisika kwa kuhonga
mtu ulikuwa unahonga mamilioni halafu unarudi kuuza mishikaki?hukuwekeza?wapi kina wema wakuokoe?
Kabisa umbea ni afya.
Kahukumiwa miaka mitano jela!
 
Kahukumiwa miaka mitano jela!

Miaka mitano jela kunaondoaje maumivu kwa waathirika wa wizi wake? Mtu mwingine ataamua kuiba fedha nyingi, akatumikie kifungo na baada ya kifungo aje atumie maisha yake yote na watoto wake. Miaka mitano chini ya serikali, wakati ukitoka unafungu la kutumia hadi unakufa na watoto wako hadi wajukuu wasiwe na ulazima wa kufanya kazi ya kuzalisha, ni sadaka mkakati mzuri.
 
Ushawahi kukaa jela hata wiki?
 
Back
Top Bottom