maulana majaliwa
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 261
- 141
Anachakarika harembi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nashangaa hapo muuza ngada anaweza kusifiwa ck akapuuzwaKwani kuna ubaya gani kuuza mishikaki ?
Jamaa hakuwekeza kwenye rasilimali yeyote? Hata km alitumbuliwa lakin kwa level aliyokkuwa nayo sio wa kuuza mishikaki hii sio kawaida nifunzo kubwa sanaNdo nashangaa hapo muuza ngada anaweza kusifiwa ck akapuuzwa
kuuza mishikaki siyo kosa. Kosa ni kuiba pesa zetu walipa kodi na kuhonga vimwana yva mujini.Umbeya ni uswahili wa kipumbavu. Kuuza mishikaki ni kosa? Mada za kijuha!
Kabisa umbea ni afya.kumbe maisha bila umbea hayaendi
kuuza mishikaki siyo kosa. Kosa ni kuiba pesa zetu walipa kodi na kuhonga vimwana yva mujini.
kuuza mishikaki hakuna ubaya, ila mazingira ya muuzaji yana simulizi,na yanafikilisha!Kuuza mishkaki kuna ubaya gani?
kuuza mishikaki hakuna ubaya, ila mazingira ya muuzaji yana simulizi,na yanafikilisha!
CK ni bonge la mpambanaji, unapopata tumia, unapokosa jutia.
Mwizi anapelekwa mahakamani. Ku attack kazi anayoifanya ya halali baada ya kuiba, bila kumchukulia hatua, kunarejeshaje fedha alizoiba?
ugumu wa maisha kipimo cha akiri
Pesa ina visa vingi. ....kesho utasikia mtu mwingine nae kafilisika kwa kuhonga
mtu ulikuwa unahonga mamilioni halafu unarudi kuuza mishikaki?hukuwekeza?wapi kina wema wakuokoe?
Kahukumiwa miaka mitano jela!Kabisa umbea ni afya.
Kahukumiwa miaka mitano jela!
Ushawahi kukaa jela hata wiki?Miaka mitano jela kunaondoaje maumivu kwa waathirika wa wizi wake? Mtu mwingine ataamua kuiba fedha nyingi, akatumikie kifungo na baada ya kifungo aje atumie maisha yake yote na watoto wake. Miaka mitano chini ya serikali, wakati ukitoka unafungu la kutumia hadi unakufa na watoto wako hadi wajukuu wasiwe na ulazima wa kufanya kazi ya kuzalisha, ni sadaka mkakati mzuri.