Kigoma: Baadhi ya wakazi wagoma kulipa huduma ya maji wakidai ni ya Mungu

ila Waha bhana ?!

sasa si ung'oe bomba nyumbani kwako usibir Mungu akuketee maji mpaka nyumbani kwako ?

acheni ujinga basi ...
 
Waha ni hatari πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Waha ni kati ya binadamu wabishi sana,alafu ubishi wao huwa sio wa kisomi
 
Wapo ila wamehamia tu sio indigenous,kama weww ulivyo hapo dasarama.
 
Waha ni wabishi sana
 
Waha na ubishi pro max,sishangai sana,wengi nimesoma nao.Wanaweza kubishia taarifa ya habari ya redio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…