CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Ndo faida ya ubishi.😀😀😀😀why hawataki kurudi kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo faida ya ubishi.😀😀😀😀why hawataki kurudi kwao
Warundi [emoji848] kuna raia wa kigeni wanaishi huko kigoma?Hao ni waha na warundi,kigoma hakuna wasukuma.
Ila waha ni wabishi bana duh.
Wali migrate kutoka huko Burundi kukimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe waka settle kg.Warundi [emoji848] kuna raia wa kigeni wanaishi huko kigoma?
Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Kigoma wameripotiwa kugoma kulipia huduma ya maji kwa kile wanachodai kuwa bidhaa hiyo inaletwa na Mungu.
Akizungumza katika mkutano wa nusu mwaka wa Wakala wa Usabazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Kigoma, Meneja wa wakala huo wilayani humo Mhandisi Leo Respicius amesema, tabia hiyo imechangia kupungua kwa mapato yanayotokana na huduma ya maji katika baadhi ya vijiji.
Kufuatia suala hilo, mkuu wa wilaya ya Kigoma, Ester Mahawe ameitaka RUWASA kushirikiana na viongozi wa vijiji wilayani humo, ili kuwaelimisha zaidi Wananchi juu ya umuhimu wa kulipia huduma ya maji.
Baadhi ya vijiji wilayani Kigoma ambapo wakazi wake wengi wametajwa kugoma kulipia huduma ya maji kwa madai kuwa bidhaa hiyo inaletwa na Mungu ni Mkongoro, Kaseke, Nyamoli na Kidahawe.
Vp kuhusu usafi 😁😁😁Wasukuma kwa ubishi hawawafikii waha na warundi,hivi unamwonaje zito kabww kajamaa ni kabishi hako.
Mi nimewekeza huko wifi yako no Wa huko,huyu maza ni mbishi balaa,na ukioa huko hapo kwako ndo amefika hawarudigi kwao akishatoka huko,utamuulia hapo kwako.
Wasukuma wapo Tanzania nzima..sijui utaenda wapi nchi hii usiwakute.Hao ni waha na warundi,kigoma hakuna wasukuma.
Ila waha ni wabishi bana duh.
Mkuu usafi UPI,Wa kusafisha nyumba au Wa kuosha meli?Vp kuhusu usafi 😁😁😁
Labda unaongelea wa huko chato.😬😬hata hivyo wasukuma ni wabishi kama wapo huko wamewaambukiza wenzao
Haya hapa kwangu yupo Msukuma naishi nae ananisaidia kuchunga ng,ombe anaitwa Malulu,sema jamaa wanapenda utani ni watani Wa kila kabila hapa Tanzania sio wagonvi kabisa.Wasukuma wapo Tanzania nzima..sijui utaenda wapi nchi hii usiwakute.
#MaendeleoHayanaChama
Wasukuma sio wagomvi..ni watu wa matani sana.Haya hapa kwangu yupo Msukuma naishi nae ananisaidia kuchunga ng,ombe anaitwa Malulu,sema jamaa wanapenda utani ni watani Wa kila kabila hapa Tanzania sio wagonvi kabisa.
Wanasemaga makabila yote Tanzania ni watani wao,hata wanaume wasukuma 70%wanaongea ile soprano's voice, hawanaga Bass.Wasukuma sio wagomvi..ni watu wa matani sana.
#MaendeleoHayanaChama
Karibu sana sanaMkuu ntakuja kufanya hata matembezi niwasalimie shemeji zangu.
Zinatoka mbinguni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nchi haiishi vituko. Sasa wanategemea gharama za kuyatibu zinatoka kwa nan kama wasipolipia wao? Ama wawaache wawe wanavuna ayo maji wenyewe na kuyatreat na kuyasambaza kwa gharama zao wenyewe ?
Wanawake wao ni wazuri kinyama hebu cheki huyu malikia wao alivyokuwa chuma,Karibu sana sana
Ameshindwa kzi, kwanini asiwakatie hudumaAkizungumza katika mkutano wa nusu mwaka wa Wakala wa Usabazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Kigoma, Meneja wa wakala huo wilayani humo Mhandisi Leo Respicius amesema, tabia hiyo imechangia kupungua kwa mapato yanayotokana na huduma ya maji katika baadhi ya vijiji.
Utukome. Wasukuma na Kigoma wapi na wapi ?Wasukuma kwa ubishi poleni watumishi wetu huko
Kigoma hakuna wasukuma😀😀😀Utukome. Wasukuma na Kigoma wapi na wapi ?
Kwa kuwa wanalipa kodi basi hii ilitakiwa iwe huduma zaidi kuliko biashara,Hii nchi haiishi vituko. Sasa wanategemea gharama za kuyatibu zinatoka kwa nan kama wasipolipia wao? Ama wawaache wawe wanavuna ayo maji wenyewe na kuyatreat na kuyasambaza kwa gharama zao wenyewe ?