Kigoma JF users connect

Hivi watu wa kigoma kwanini mnapenda sana kula mkiwa safarini? Nakumbuka nikiwa natoka shule tabora enzi hizo kwenye train wamejaa na majiko sufuria ,chupa za chai arghhhh
 
A

Aisee bahati mbaya simu yangu inashindwa ku upload picha ningeweka akajionea mwenyewe mjabosi ni nini

Nimetafuta picha nimekosa, nilitamani kweli kumwelekeza kwa kutumia picha.
 
Emga ndashimye chane ndibhuse iwachu tamaaa

Twibhukanye imigani au imwivugo,


Jewe ngomba ntangule ati_

Hohose huchiye nu'chi bhango.

Ulitonda ugatondegwa

Umulushi ahebhula bhugaye

Umwana yanga ikilumbu, abhamenya hobhalise.

Umwana azengana igishenya, ntazengana ihela.

Indaha yabhise ibhuye ntibhika ihela

Ukulendela kwi nkumi ilasula igaseka.
 
funguka vizuri ili wengine wafunguke
 
Umechanganyikiwa wewe,

Fafanua halimashauri ya manispaa ya ujiji au kigoma kwa ujumla??



Njooo manyovu uone watoto wanaodeka utazani Imana yalabhakoloyeee

Kuna wasichana waloumbika mpaka unaweza usirudi ulikotoka
Hahaha, watoto wa kitusi.
Shikamoo kagame
 
nipe maana za ukudimba na ukwidimba

ukumdimba, ukudimbika

au kubatiza mtu kwa kiha

Ukudimba - Kuchovya, mfano unapokuwa unakula unamega tonge la ugali na kulichovya kwenye mchuzi.
Ukwidimba - Kuogelea kwenye madimbwi ya maji, mto au ziwani.
Ukumdimba - Ukumdimba mmazi, kumdumbukiza kwenye maji, kwenye ubatizo may be.
Kudimbika - Hapa unganisha unganisha kutokana na hizo maana juu
 
Kigoma nimepapenda japo pamelala compared na mikoa mingine ila naona tatizo ni barabara na umeme wa national grid.

Watu wakarimu sana kama wasukuma.

Kwa mtu anaewaza kutumia fursa basi kigoma ndo penyewe, mashamba yamejaa nyani badala ya mazao but mkoa ni ambao sehemu kubwa ni virgin.
 
Aho ndaliko ndelekana ko nd'Umuha yemewe, ndamenya ko bhalimwo abhaha bhatameny'Igiha
ila nabhene bhahis'aha, bhagasanga h'Igiha bhalakumya!
 
Thubutu miaka yote mm ni wakigoma mpaka sasa hv naelekea kuvua kibiri dagaa mteke
hahahaaa...poa wa port

ujue ulivyoita mjabosi nilishtuka maana mimi mwenyewe niko dom kitambo ila naujua unaitwa mdyabhose, sema kuutengeneza ndo nilikuwa sijui bcause niliondoka bado mdogo hata mambo mengi ya kiasili nilikuwa sijayamanya
 
funguka vizuri ili wengine wafunguke
Sawa. Ukiwa stand ya mabasi mkoa juu ya lile ghorofa la CWT panda juu kuna barabara inaelekea Airport chini ya shule ya msingi Kabingo ndio my residence area
 
hahahaaa...poa wa port

ujue ulivyoita mjabosi nilishtuka maana mimi mwenyewe niko dom kitambo ila naujua unaitwa mdyabhose, sema kuutengeneza ndo nilikuwa sijui bcause niliondoka bado mdogo hata mambo mengi ya kiasili nilikuwa sijayamanya
Pole sana ulikosa mingi vipi unajua mbani hata Raimundo czani kama anaujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…