bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,205
- 2,905
mjabosi? wewe ni mgeni wa taifa tarajiwa la kigomaKama hujui kutengeneza mjabosi basi nina wasiwasi na utaifa wako kigoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mjabosi? wewe ni mgeni wa taifa tarajiwa la kigomaKama hujui kutengeneza mjabosi basi nina wasiwasi na utaifa wako kigoma.
Weee kasulu sehemu gani?? Tuanzie hapo kwanza
A
Aisee bahati mbaya simu yangu inashindwa ku upload picha ningeweka akajionea mwenyewe mjabosi ni nini
Hahaha,Hivi Raimundo wewe sio yule jamaa unayeuza mahindi ya kuchoma pale maeneo ya Kwa mchaga kabla ya kufika Ndaboine mbele kidogo ya Urusi asili?
Emga ndashimye chane ndibhuse iwachu tamaaaAha, hagombegwa mugamb'Igiha gusa, none mulatelany'Indimi, Ikingereza, Igiswahili, Igiha zose zil'aha, mwemwe mul'Abhaha nyabhaki mutamenya kugamb'Igiha?
Haliho Igiha cha Gakonko, cha Kibhondo, cha mabhamba gitelanyije mwo ni kirundi, ch'Iheru, Ch'amaeneo ya Bhasanza, ni cha Kigoma mjini, lakini zose ntimuzimenya!
Muze ngaha ndabhabwilize
funguka vizuri ili wengine wafungukeHey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
Hahaha, watoto wa kitusi.Umechanganyikiwa wewe,
Fafanua halimashauri ya manispaa ya ujiji au kigoma kwa ujumla??
Njooo manyovu uone watoto wanaodeka utazani Imana yalabhakoloyeee
Kuna wasichana waloumbika mpaka unaweza usirudi ulikotoka
nipe maana za ukudimba na ukwidimba
ukumdimba, ukudimbika
au kubatiza mtu kwa kiha
Aho ndaliko ndelekana ko nd'Umuha yemewe, ndamenya ko bhalimwo abhaha bhatameny'IgihaAnasema hapa inatakiwa tuongee kiha tu, analalamika kuna Kiswahili, Kiingereza, Kiha humu humu kwenye thread.
Na ametaja kwamba kuna kiha cha Kibondo, Mabamba, Heru, Basanza (kiswahili tunaita Lahaja kama sijakosea).
BTW: Jukwaa inabidi tuchanganye lugha ili watu waione tunawatenga, pia kuna waha ambao hawajakulia Kigoma au hawajui kiha kwa namna moja ama nyingine nao wangependa kujumuika.
cc Safari Safi.
Umwana azengana igishenya, ntazengana ihela.
hahahaaa...poa wa portThubutu miaka yote mm ni wakigoma mpaka sasa hv naelekea kuvua kibiri dagaa mteke
WadadisiHa ha ha, eti wabishi.
Siyo bana, sema tunapenda kutetea hoja.
Mbese tumaze kubhasanga Kumahanga mulemela komul'Abhaha?Aho ndashimyeee leloooo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Guma nzee kwisesa ndobha dobhe[emoji159] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Pole sana ulikosa mingi vipi unajua mbani hata Raimundo czani kama anaujuahahahaaa...poa wa port
ujue ulivyoita mjabosi nilishtuka maana mimi mwenyewe niko dom kitambo ila naujua unaitwa mdyabhose, sema kuutengeneza ndo nilikuwa sijui bcause niliondoka bado mdogo hata mambo mengi ya kiasili nilikuwa sijayamanya