Ww utakuwa jirani yangu aiseeHey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
Ipo maeneo gani?Karibu THE WALLET lounge wadau
Nasikia wanasema kigoma mjini sio pazuri kiviile kama kasulu. wanadai kasulu ndo fresheeee! na wengi wanapakubali kasulu eti..
Nasikia sikia tyu
Cc Smart911
[emoji1] [emoji1]mkifanikiwa kumnasa Chibu, mnishtue!
[emoji15]Kigoma mjini nimekaa miaka sita naijua vizuri kuanzia
Mwanga
Mlole
Bangwe
Shede
Kibirizi
Ujiji
Maweni
Mji mwema
Masanga
Zungu beach
Lake Tanganyika beach
Stanley pub
Kibo park etc
Mimi nilikuwa naishi karibu na kituo cha watoto yatima cha sanganigwa karibu na msikiti Mkuu wa ijumaa pale mjini
Shule ya msingi gungu ndio nilisoma baadae nikahamia mlole nako sikukaa sana tukahamia darSijaiona gungu kwa wababe
Kahabwa
kabingo
Kikungu
East veta kwa maninjaz
etc
Kuna dada poa usikuMkuu hebu badili hapa kwenye kasuru iwe Kasulu.
Kuna kijiwe wanaita kwa Mchaga unakifahamu?
[emoji15]Unlike uwe wa huko na wew ila kama sio
Narudia tena USIOE KIGOMA
Wanawake wa ule mji wana amini sana katika ushirikina sana tena sana
Nina shuhuda kadhaa