Kigoma JF users connect

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

teh nimerud na vitenge naambiwa chagua mrembo dadek tembezwa lake tanganyika ! sema sikua na muda sana jaman !yaan kule km hujaolewa waeza olew jaman wanakupenda ova umekuwa IMPORTED!teh mwakan natafta kasemina elekezi tena ndukiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Aiseee mwenye picha ya majengo ya Jeshi Buronge atuwekee hapa
 
Hahaaaaaaaaa mm nilikua nipo hapoo Kitongoni kwa jamaa mmoja anaitwa Shabani Milago!
Mwaka Jana mwezi Wa 5 nilifikia kilimahewa afu nikahamia ujijj soko LA watumwa

Tulikuw tunaenda forodhani kushangaashangaa
 
teh nimerud na vitenge naambiwa chagua mrembo dadek tembezwa lake tanganyika ! sema sikua na muda sana jaman !yaan kule km hujaolewa waeza olew jaman wanakupenda ova umekuwa IMPORTED!teh mwakan natafta kasemina elekezi tena ndukiiiiiiiiiiiiiiiiii
Unajua nakutafuta nimekukosa kule nikaanza kukutafuta kumbe umekuja huku
 
Wale wa mitaa ya mjengo soko mjinga msikiti wa kibonajoro hali ya hewa katubuka Nazareth hii ndio mitaa yangu utoto wangu iliishia mitaa hii
Mmh! Mkuu basi tumekulia maeneo sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…