Kigoma JF users connect

Kuna kijiwe kinaitwa kwa mzee mchele mwanga mtaa wa sim unakifaham?
 
Basi nitapanda Saratoga, kuna kipindi Mohammed Trans zilikuwa zinakuja kupitia Kahama, hii ndo ruti naionaga nzuri sema ni mbali kidogo.
Pitia tu Kasulu, Kibondo, Bwanga, Geita, Sengerema pia ni fupi
 
Pitia tu Kasulu, Kibondo, Bwanga, Geita, Sengerema pia ni fupi

Mi niko Kasulu, kwa hiyo ruti itakuwa ya Kibondo, Nyakanazi (jimboni kwa Magu), Biharamulo, Geita, Sengerema, ila pale kwenye kivuko ndo sipapendagi mimi. Naogopa meli.
 
Umechanganyikiwa wewe,

Fafanua halimashauri ya manispaa ya ujiji au kigoma kwa ujumla??



Njooo manyovu uone watoto wanaodeka utazani Imana yalabhakoloyeee

Kuna wasichana waloumbika mpaka unaweza usirudi ulikotoka
Hamna lolote mbwembwe tu
Hao Watusi koko?
 
Mi niko Kasulu, kwa hiyo ruti itakuwa ya Kibondo, Nyakanazi (jimboni kwa Magu), Biharamulo, Geita, Sengerema, ila pale kwenye kivuko ndo sipapendagi mimi. Naogopa meli.
Hivi Nyakanazi haiko Biharamula kweli?! sina uhakika lakini
 
Jaman huu uzi haubagui kanda tuelewane vi zuri.
Kama ww ni wa kigoma mjini, kasulu, kibondo, uvinza, kigoma kusini, kigoma kaskazini pamoja na mwamgongo etc huu uzi unakuhusu. Ama nini mazee.Ingo tugambe viwachu vyi kigoma.
Ilankunda1234
 
Aliyeanzisha Uzi huu ,hongeera yko,mm natokea ujij kawawa kwa mzee ally mussa ng'ombe ,ukoo wenye ngombe nyingi ujiji nzima,kwa sasa nipo arusha
Ahsanteeeeeeeeee zubeeee
 
Anaye pafaham kigamboni ng'ambo ya bwawa katosho aje atueleze maendeleo yapo vipi ya ule mji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…