BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Kuna kijiwe kinaitwa kwa mzee mchele mwanga mtaa wa sim unakifaham?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni wa kigoma?Kiko Kigoma mjini, ukitoka stendi kuu kama unaenda mjini upande wa kulia, wanauza misosi, juice na vinywaji baridi.
Pitia tu Kasulu, Kibondo, Bwanga, Geita, Sengerema pia ni fupiBasi nitapanda Saratoga, kuna kipindi Mohammed Trans zilikuwa zinakuja kupitia Kahama, hii ndo ruti naionaga nzuri sema ni mbali kidogo.
Na wewe ni wa kigoma?
Pitia tu Kasulu, Kibondo, Bwanga, Geita, Sengerema pia ni fupi
Wakati unarudi naomba uniletee zawadi ya mafuta ya mawese!Na wewe ni wa kigoma?
Hamna lolote mbwembwe tuUmechanganyikiwa wewe,
Fafanua halimashauri ya manispaa ya ujiji au kigoma kwa ujumla??
Njooo manyovu uone watoto wanaodeka utazani Imana yalabhakoloyeee
Kuna wasichana waloumbika mpaka unaweza usirudi ulikotoka
Hivi Nyakanazi haiko Biharamula kweli?! sina uhakika lakiniMi niko Kasulu, kwa hiyo ruti itakuwa ya Kibondo, Nyakanazi (jimboni kwa Magu), Biharamulo, Geita, Sengerema, ila pale kwenye kivuko ndo sipapendagi mimi. Naogopa meli.
Oooh kumbe wa nyumbani.Kigoma wilaya ya Kasulu, tuseme kama ni utaifa ni ule tunasema By Birth.
Sawa mkuu.Wakati unarudi naomba uniletee zawadi ya mafuta ya mawese!
Hivi Nyakanazi haiko Biharamula kweli?! sina uhakika lakini
Oooh kumbe wa nyumbani.
Acha uongo.