Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

Sexless,

Kweli Kama unatoka Mkoa tofauti na Kigoma na ukaoa na kuishi Kigoma utapata taabu sana! Utakuwa nikama umeoa Ukoo mzima kila Ndugu wa Mwanamke akija kwako jiandae kuombwa pesa akitaka kuondoka!
 
Dusabimana, Dah we jamaa mbona una tukatisha tamaa ya kwenda kuvua totozi za KG japo ni fupi na colour black ila zina misambwanda ya maana.
 
Ukitaka kuoa nenda kijijini nawaambia! Huko watu wameshika dini na heshima hatari.

Wanawake wa Kiha wamezaliwa kwenye shida wamekua kwenye shida so hakuna shida ambayo hawawezi vumilia. Mfano mkubwa ni mama yangu. Salute kwake, tulipotoka mpaka alipo Mambo si mepesi.
 
Niwatakie kila la kheri mabaharia waendao Kigoma.
 
Dah we jamaa mbona una tukatisha tamaa ya kwenda kuvua totozi za KG japo ni fupi na colour black ila zina misambwanda ya maana.
Sio kuwakatisha tamaa huo ndio ukweli. Wengi kutoka mikoani wakifika Kigoma wakicheki mazingira ya kibushi flani hivi wanachukulia kama mademu wengi wa Kigoma bado hawajajua wanaume. Wanajidanganya kuwa wao kutoka mikoani ndo wamekuja kuwafundisha mapenzi, kitu ambacho sio sahihi. Utashoboka wee, wenyeji wanakuchukulia limbukeni wa mapenzi!
 
Nadahani umesoma kichwa cha habari tu, hebu rudi kasome vizur sababu alizozitoa.@Barbarosa,
 
Ukiandika neno Kigoma unamalizia na neno Tanzania maana huwa wanahisi wako burundi sijui
 
Yaani nitoke Dar niende kuoa kigoma. Maelfu ya kilometers.
 
Da'Vinci,

Sio Kila Mwanamke wa kijijini ana heshima kwa Kigoma! Nikubahatisha mimi nimekaa nao nawafahamu vizuri. Kuna katabia na kuhisi ujiko kwa baadhi ya Waha kugonga wake za watu, hasa hao wa vijijini wanakuaga rahisi sana wanagongewa mpaka misanzeni!
 
Back
Top Bottom