Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana kazi kwenu kwenda kigoma mwisho wa reli kujichukulia wake.
Atakula numbu na migebuka hadi aseme poo...ila Kasulu kuna karanga zao zile wanazisaga daah nilikua nazinunua nyingi nikisikia hamu naanza kuzila kavu kavu maisha ya Kasulu yalikua safi sana...wikend unaenda Kigoma Town..unakutana na watoto wazuri wa Kimanyema, Kikongomani, unakula good time basi unarudi zako bush...Utalishwa mawese mixer kuogea gwanji.
Uli hehe?Ulakoze chane
Uli hehe?
Hata bure unapewa mkuuMabinti wa kiarabu wapo? Na vipi mahari zao si kubwa sana
Kweli
Kweli Kama unatoka Mkoa tofauti na Kigoma na ukaoa na kuishi Kigoma utapata taabu sana! Utakuwa nikama umeoa Ukoo mzima kila Ndugu wa Mwanamke akija kwako jiandae kuombwa pesa akitaka kuondoka!
Yule msanii mkubwa nilkuwa nashangaa akipost kitu home pamejaa watu mpaka nkajiuliza ni home au studio @Sexless
Kigoma kuna k2 cha ziada.. nimekaa sehemu nyingi tanzania lakini kigoma nahs kama nyumbani vile, nilipapenda sana.
Ni kweli kama unataka ufanikiwe nenda kaoe kigoma japo si wote, unaeza piga mwanamke lakini kesho anavyo ku treat kama jana ulimnunulia gari vile.
Shida miguu yao imeliwa sana na funza mzee baba.Naupenda sana mkoa huu..
Watu smart na wenye vipaji wanatoka huko