Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

Ukilishwa kichwa cha mgebuka hutoki Kigoma
 
Kuna binti mmoja wa kasulu muha ananisumbua hatari,yule binti ni mzuri wa tabia mpaka shepu ila hakuwa ameingia kwenye zile type zangu ninazopenda na ndio iliyosababisha tushindwane
 
Icho kilio chenu mbunge wenu anajua lakini,
 
Kweli
Kweli Kama unatoka Mkoa tofauti na Kigoma na ukaoa na kuishi Kigoma utapata taabu sana! Utakuwa nikama umeoa Ukoo mzima kila Ndugu wa Mwanamke akija kwako jiandae kuombwa pesa akitaka kuondoka!
Usigope mkuu, wao bado wanazingatia udugu na nasaba, wanauishi ujamaa wa Kiafrika.

Vv
 
Unakubaliana na hoja za mwanzisha uzi ili vijana wafunge safari za kuja Buhanda?

Vv
Hahahaaa hilo eneo nilikua nishalisahau..buhanda businde,Mwasenga..masanga.
I miss ma home wallah.
 
Viva kigoma vivaaa.
 
In addition..hta wale wenzetu waliopewa uraia MISHAMO NA KATUMBA nawao wako vzr, maana WAHUTU NA WAHA ni wale wale isipokuwa MIPAKA TU ya NCHI
 
Njoo uchukue tikiti ya gari moshi uende mwisho wa reli kuopoa vimwana.
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi, yani umesubiri niwe na mapengo ndo unilishe 'nyama ya jembe'.

Anyway hivi hujasikia sikia wachina kama wachina wamegundua dawa ya kurudisha vikongwe kuwa 'maji moto' na mimi nifaudu?
 
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi, yani umesubiri niwe na mapengo ndo unilishe 'nyama ya jembe'.

Anyway hivi hujasikia sikia wachina kama wachina wamegundua dawa ya kurudisha vikongwe kuwa 'maji moto' na mimi nifaudu?
Ng'ombe hazeeki maini, kaopoe vimwana huko uache visingizio.
 
Ujiji huko uswahilini ambako asubuhi ukimnunulia Manzi fungu la Migebuka ya 3000 akapeleka kwao jioni siku hiyo unaenda kumtigita! Au hilo nalo ni mojawapo ya sifa njema?!
 
Mabaharia tukaweke kambi kule ila marufuku kurudi na mwanamke
Kule watakugeuza hanithi mapema tu ukichezea mabinti za watu na kuwaacha

Kule binti ukimtongoza yeye anajua tayari unataka kumuoa, anapeleka ripoti moja kwa moja kwa mama yake kuwa amepata mume, asa wewe jidanganye.
 
Vipi mkuu uliokuwa ukiwala kimasihara, au wenyewe walikuwa siyo wa kijijini?

Nauli kwa nia njema tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…