JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Huo Ulikuwa Mtaji Wa Ccm Sasa Hivi Ndiyo Watajua HawajuiWauze hizo hizo bajaji
Kuna maamdamano na mgomo. Maandamano yanahitaji kibari kutoka selikalini ila mgomo unahitaji kibari kutoka kwa muongoza mgomo. Kazi ya serikali hapo ni kuthibitisha tu kutokea kwa mgomoKwani nchi Tayari imeruhusu maandamano?
Maandamano yao yana kibali?
Wameagiza ndege 5Kwa wenzetu wanaojitambua[emoji116][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2178862View attachment 2178863View attachment 2178864View attachment 2178866Kwa Mitanzania ambayo haijitambui baada ya kuruhusu vibaka kupora chaguzi na kushika dola [emoji116][emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2178868View attachment 2178869
π€£π€£π€£Wameagiza ndege 5
Mafuta yamepanda, we unategemea wao watabaki kulipisha nauli ya zamaniWanaandamana kushinikiza bei ya nauli ipande badala la kushusha bei ya mafuta,ni akili za wapi hizi?
Nyie!Wameagiza ndege 5
ππππππWamuone Abdul Nondo atawasaidia.
Hapa ni kupaki kushinikiza nauli ipande ili tuisome namba vizuri.Duuu!!! Lita moja imefika buku 3?
Ni kichaa pekeyake ndiye atafanya biashara ya daladala.
Tunasubiri kuanzia wiki ijayo hapa DAR watalianzisha Tu...Hapa ni kupaki kushinikiza nauli ipande ili tuisome namba vizuri.
mkuu alisema bidhaa na huduma zitapanda nao wameanza kupanda kwenye mgongo wa kauliWauze hizo hizo bajaji