Kigoma: Mchungaji na waumini wanaowapinga kamchape wachezea kipigo kizito kutoka kwa wananchi

Kigoma: Mchungaji na waumini wanaowapinga kamchape wachezea kipigo kizito kutoka kwa wananchi

Imani ni kitu kizuri ila ni kitu kibaya sana ikimuingia mtu kupita kiasi.

Na hiyo kazi inafanywa na huni tu ili wajichukulie mademu kwa kuwatisha tu.

Ila KAMCHAPE ni matapeli tu kama matapeli wengine mazingira nayo huchangia wahuni kama hao kutekeleza malengo yao.

Wananchi kama wana akili wakejionea uhuni wa WAHUNI kazi kwao.
 
Hao kamchape ni wachonganishi na wanaleta taharuki kwa wananchi, kuna sehemu walibebewa panga wakatolewa nduki baada ya kulazimisha kutoa uchawi kwenye nyumba ya mwanakijiji mmoja, wahuni hao wadhibitiwe
 
Back
Top Bottom