G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Mar 12, 2024 #1 kigoma ni mkoa mgumu sana ukianza kugusia suala la kutokomeza Kamchape Your browser is not able to display this video.
kigoma ni mkoa mgumu sana ukianza kugusia suala la kutokomeza Kamchape Your browser is not able to display this video.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Mar 13, 2024 #2 Imani ni kitu kizuri ila ni kitu kibaya sana ikimuingia mtu kupita kiasi. Na hiyo kazi inafanywa na huni tu ili wajichukulie mademu kwa kuwatisha tu. Ila KAMCHAPE ni matapeli tu kama matapeli wengine mazingira nayo huchangia wahuni kama hao kutekeleza malengo yao. Wananchi kama wana akili wakejionea uhuni wa WAHUNI kazi kwao.
Imani ni kitu kizuri ila ni kitu kibaya sana ikimuingia mtu kupita kiasi. Na hiyo kazi inafanywa na huni tu ili wajichukulie mademu kwa kuwatisha tu. Ila KAMCHAPE ni matapeli tu kama matapeli wengine mazingira nayo huchangia wahuni kama hao kutekeleza malengo yao. Wananchi kama wana akili wakejionea uhuni wa WAHUNI kazi kwao.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Mar 13, 2024 #3 Hao kamchape ni wachonganishi na wanaleta taharuki kwa wananchi, kuna sehemu walibebewa panga wakatolewa nduki baada ya kulazimisha kutoa uchawi kwenye nyumba ya mwanakijiji mmoja, wahuni hao wadhibitiwe
Hao kamchape ni wachonganishi na wanaleta taharuki kwa wananchi, kuna sehemu walibebewa panga wakatolewa nduki baada ya kulazimisha kutoa uchawi kwenye nyumba ya mwanakijiji mmoja, wahuni hao wadhibitiwe