Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Kigoma town imebadirika zaidi..Mbususu za kutoka Burundi na Congo zimejaa huko..Ahaa, wallet ni ghorofani nao wanapiga live band mkuu
Ni kweli hawafai,piga maji kichwa ikikaa sawa dandia bajaj kibati ulipofikia..Hao malaya wa kuokota mimi hilo sina mkuu.
Kigoma wana ziwa Tanganyika linatoa ajira kwa wengi, michikichi..kwa mawese, wana mpunga, maharage haya ni kwa wakazi, lakini pia imasikini ni mkubwa sana.
Nimeelewa kwanini waha wakija Dar na mikoani hawacheki na Nyani.[emoji38]
Umechukulia Kigoma?
karemie au una maanishaje ndugu?Karema mkuu.
Haha utupe mrejesho kama ni kweli kuna wazee wapiga vizingaHahaha hilo kwangu no
Hilo sijaliona.Haha utupe mrejesho kama ni kweli kuna wazee wapiga vizinga