Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Kigoma wana ziwa Tanganyika linatoa ajira kwa wengi, michikichi..kwa mawese, wana mpunga, maharage haya ni kwa wakazi, lakini pia imasikini ni mkubwa sana.
Nimeelewa kwanini waha wakija Dar na mikoani hawacheki na Nyani.[emoji38]

Nina debe za mawese enhee ,nikifika dar ni hapa sana.
 
Kuna mtu alitupa makanyo hapa kuwa ukiingia Bar za Kigoma tarajia zaidi ya wanaume sio chini ya watatu na vitambi vyao watakuomba uwanunulie bia.
Kaa rada, kaa kijanja.
 
Haha utupe mrejesho kama ni kweli kuna wazee wapiga vizinga
Hilo sijaliona.
Mji bado sana.
Fursa za ziwa zuri la maji baridi naona haijatumika vizuri.
Wana fukwe nzuri sana lkn hawatengeneza beach za viwango.
Nimependa sana fukwe taamu mno kwa asili lkn hawajawekeza vizuri wangefaidi.

Barabara za mjini ni nzuri tu

Sehemu za starehe hazibambi kivile.

Si wajua Waha wabahili?[emoji1787]
 
Back
Top Bottom