Gorgeous96
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 293
- 691
Wee bado una muda wa kufuta huu ushenzi wako....Wahudumu wa guest hawakuona kuwaa huyo Ofisa yuko na binti mdogo?? Huyu binti alifikajee Guest??
Hii case ichunguzwe upyaaa, vitoto vidogo viache umalayaaa.
Mtoto wa miaka 13 anakupanga kamaliza form 4? Na unakubali? Miaka 13?? How?Unadhani huyo kakosea !!! , Hajakosea kabisa, kigoma ujiji ndoa za utotoni nyingi mno, vitoto vinajiuza, ukute jamaa hapo alikuwa hafanyi nako ngono peke yake na kalimpanga kamemaliza form 4
Kwa akili ya kawaida, kweli mtu anaweza kwenda lodge na mtoto wa miaka 13 ? , Huyo alieetoa ushauri vitoto viache umalaya pia yupo sahihi, havitaki shule vinaolewa, Kigoma ni kama pwani kila siku harusi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapo ni kupiga tu panga. No way out.Wewe ndio baba wa Binti.
Nakukabidhi Panga kaliiii jipyaaaa linameremeta .
Uko na mbakaji wa bintio porini, mpo wawili tuuu .
Hii itakuwa alikuwa anasimamia kesi ya watu fulani wakamuomba yaishe akakomaa wakamtengenezea kesi. Bongo noma, nakataa kabisa afisa ustawi afanye hicho kitendoMuhtasari:
Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi amesema mahakamani hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo.
Habari Kamili:
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Ofisa Ustawi wa Jamii, Frank Mabuga kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa umri wa miaka 13.
Akitoa hukumu hiyo leo Machi 20, 2023 Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo, Eva Mushi amesema mahakama hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo.
Shauri hilo lenye namba 43/2022 lilitajwa kwa mara ya kwanza Februari 22, 2022 ambapo alikuwa akituhumiwa kumbaka mara mbili mtoto huyo kwa siku moja katika nyumba ya kulala wageni ya Ishimwe iliyopo Manispaa ya Kigoma ujiji.
“Awali kesi hiyo ilisomwa kwa mara ya kwanza Februari 22, 2022 mbele ya hakimu Venance Mwakitalu wa Wilaya ya Kigoma ambapo mshtakiwa alikana mashitaka,” amesema.
Kesi hiyo iliyosomwa katika chumba cha siri, Hakimu Mushi amesema mtuhumiwa huyo alitiwa hatiani kwa mujibu wa sheria namba 130 (1) (2) (e) na kifungu namba 131 (1) cha kanuni ya adhabu namba 16 ya mwaka 2019 kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.
Hakimu Mushi amesema katika kesi hiyo walikuwa na vielelezo viwili Polisi fomu namba tatu (PF3), na ramani ya eneo la tukio ambapo mashahidi sita wa upande wa mashataka walitoa ushahidi wao mahakamani hapo.
Awali mshtakiwa huyo kupitia wakili wake Ignatus Rweyemamu aliiomba mahakamani hiyo kumpunguzia adhabu kutokana na kuwa na mtoto mdogo lakini mzazi mwenzake kuwa na ujauzito.
Akizungumza baada ya hukumu hiyo wakili upande wa Serikali, Happiness Mayunga amesema adhabu hiyo imetolewa kwa mujibu wa sheria kwamba mtoto akifanyiwa kitendo kama hicho anatakiwa kuhukumiwa miaka 30 jela.
“Sisi kwetu ina tafsiri kuwa haki imetendeka na kwamba mtuhumiwa alipewa dhamana na kama ofisa ustawi alikuwa na dhamana ya kulinda haki za watoto lakini alikwenda kinyume cha taratibu,” amesema wakili Mayunga.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi la Jumatatu, Machi 20.
Hujanielewa, ninasema kuna uwezekano huyo jamaa kadanganywa umri na alivoona hakasomi basi akajua kamemaliza shule kweli, nimeelezea experience yangu ya mambo niliyoona huko, wazazi wao nao wanashiriki sometimes kuwaozesha hao watotoKumaliza form 4 ndo certificate ya kuliwa? Mtoto wa miaka 13 kwamba kwa macho unaweza hisi analika? Halafu mtoto wa miaka 13 awe ameshamaliza form 4??
Nawaza kabinti kangu haka kalivyoo keupee, kanene ,kana Afya sababu ya mamisosi kanakolishwa, kamenisumbua sana Ile miaka yake miwili, yaan sana kamenihangaisha mnoo.Hapo ni kupiga tu panga. No way out.
Mkuu, baba anamlala mwanae, itakua afisa ustawi kumlala mtoto ambae hana hata nasaba nae? Una imani kubwa sana na humanity naona. Kudos!!Hii itakuwa alikuwa anasimamia kesi ya watu fulani wakamuomba yaishe akakomaa wakamtengenezea kesi. Bongo noma, nakataa kabisa afisa ustawi afanye hicho kitendo
Anyways, inawezekana. Ila mimi ningekubaliana na wewe zaidi iwapo labda umri wa binti ungekua umesogea sogea hadi labda 16-17 hivi. Lakini 13..... Labda kama huko Kigoma mabinti wanamaliza form 4 mapema hivyo, ila kwa uzoefu wangu wa mikoa kadhaa, binti wa miaka 13 unakuta wako kati ya darasa la 5 hadi la saba. Labda pia jamaa awe kaangushiwa jumba bovu kwa umri wa binti kurudishwa nyuma.Hujanielewa, ninasema kuna uwezekano huyo jamaa kadanganywa umri na alivoona hakasomi basi akajua kamemaliza shule kweli, nimeelezea experience yangu ya mambo niliyoona huko, wazazi wao nao wanashiriki sometimes kuwaozesha hao watoto
Huyo mtu afisa atakuwa amejua umri wa mtoto baada ya kupata kesi, kuna maadili mabovu huko
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hiyo aliyosema jamaa ipo, kuna uzi nilileta humu wa afisa magereza aliyesingiziwa kubaka, baadae ilionekana ni uongo, ni juzi hapa kuna judge pia amekemea tabia ya kufundisha watoto kusingizia wamebakwa,kwa mujibu wa judge yule, tabia hii imekithili hapo TanzaniaMkuu, baba anamlala mwanae, itakua afisa ustawi kumlala mtoto ambae hana hata nasaba nae? Una imani kubwa sana na humanity naona. Kudos!!
Mie uzuri wake najua sanaa haya mambo, ndo maana nimeandika.Unadhani huyo kakosea !!! , Hajakosea kabisa, kigoma ujiji ndoa za utotoni nyingi mno, vitoto vinajiuza, ukute jamaa hapo alikuwa hafanyi nako ngono peke yake na kalimpanga kamemaliza form 4
Kwa akili ya kawaida, kweli mtu anaweza kwenda lodge na mtoto wa miaka 13 ? , Huyo alieetoa ushauri vitoto viache umalaya pia yupo sahihi, havitaki shule vinaolewa, Kigoma ni kama pwani kila siku harusi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tatizo mifumo duniani kote hutoa haki wakati mwingine kwa kusingizia. Unakumbuka babu Seya??Mkuu, baba anamlala mwanae, itakua afisa ustawi kumlala mtoto ambae hana hata nasaba nae? Una imani kubwa sana na humanity naona. Kudos!!
Unachohisi kinawezekana pia Mkuu, labda umri nao umechezewa hapo, mimi nimeishi hapo kigoma miaka 5, kuna tabia za kiswahili kama tunazosoma kuhusu Dar watoto wadogo kujiuzaAnyways, inawezekana. Ila mimi ningekubaliana na wewe zaidi iwapo labda umri wa binti ungekua umesogea sogea hadi labda 16-17 hivi. Lakini 13..... Labda kama huko Kigoma mabinti wanamaliza form 4 mapema hivyo, ila kwa uzoefu wangu wa mikoa kadhaa, binti wa miaka 13 unakuta wako kati ya darasa la 5 hadi la saba. Labda pia jamaa awe kaangushiwa jumba bovu kwa umri wa binti kurudishwa nyuma.
Vitoto vidogo viachee umalayaaa, full stop na sibadilishi maneno.Vitoto vidogo VIACHE umalaya? Sio kwamba vilindwe against huu ushenzi mkuu? Duuuhh, umetumia maneno makali wakati dogo aliebakwa ni miaka 13 tuu. Labda ungesema hiyo gesti ichunguzwe na hata kuchukuliwa hatua kali.
Kabisa kuna mikasa mingi mno ya kubumba. Inasikitisha mno.Unachohisi kinawezekana pia Mkuu, labda umri nao umechezewa hapo, mimi nimeishi hapo kigoma miaka 5, kuna tabia za kiswahili kama tunazosoma kuhusu Dar watoto wadogo kujiuza
Hizi kesi za ubakaji siki hizi siziamini kabisa japo nafahamu zipo kweli ila nyingine uongo, kuna uzi humu jamaa analalamika single mother kamtwika kesi ya kubaka mwanae, hii ni sababu jamaa alitaka kumuacha huyo single mother
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Muhtasari:
Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi amesema mahakamani hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo.
Habari Kamili:
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Ofisa Ustawi wa Jamii, Frank Mabuga kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa umri wa miaka 13.
Akitoa hukumu hiyo leo Machi 20, 2023 Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo, Eva Mushi amesema mahakama hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo.
Shauri hilo lenye namba 43/2022 lilitajwa kwa mara ya kwanza Februari 22, 2022 ambapo alikuwa akituhumiwa kumbaka mara mbili mtoto huyo kwa siku moja katika nyumba ya kulala wageni ya Ishimwe iliyopo Manispaa ya Kigoma ujiji.
“Awali kesi hiyo ilisomwa kwa mara ya kwanza Februari 22, 2022 mbele ya hakimu Venance Mwakitalu wa Wilaya ya Kigoma ambapo mshtakiwa alikana mashitaka,” amesema.
Kesi hiyo iliyosomwa katika chumba cha siri, Hakimu Mushi amesema mtuhumiwa huyo alitiwa hatiani kwa mujibu wa sheria namba 130 (1) (2) (e) na kifungu namba 131 (1) cha kanuni ya adhabu namba 16 ya mwaka 2019 kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.
Hakimu Mushi amesema katika kesi hiyo walikuwa na vielelezo viwili Polisi fomu namba tatu (PF3), na ramani ya eneo la tukio ambapo mashahidi sita wa upande wa mashataka walitoa ushahidi wao mahakamani hapo.
Awali mshtakiwa huyo kupitia wakili wake Ignatus Rweyemamu aliiomba mahakamani hiyo kumpunguzia adhabu kutokana na kuwa na mtoto mdogo lakini mzazi mwenzake kuwa na ujauzito.
Akizungumza baada ya hukumu hiyo wakili upande wa Serikali, Happiness Mayunga amesema adhabu hiyo imetolewa kwa mujibu wa sheria kwamba mtoto akifanyiwa kitendo kama hicho anatakiwa kuhukumiwa miaka 30 jela.
“Sisi kwetu ina tafsiri kuwa haki imetendeka na kwamba mtuhumiwa alipewa dhamana na kama ofisa ustawi alikuwa na dhamana ya kulinda haki za watoto lakini alikwenda kinyume cha taratibu,” amesema wakili Mayunga.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi la Jumatatu, Machi 20.
Hili ni swala ambalo jamii inakwepa kulizungumza humu , hatuungi mkono watu wazima kuwa na mahusiano na watoto, lakini pia tunakemea tabia za watoto wa siku hizi za umalaya, wakikutana na mtu mzima wa hovyo anakula tundaMie uzuri wake najua sanaa haya mambo, ndo maana nimeandika.
Kuna mtoto wa 4m 2, alinipa barua nimpelekee Kaka angu, akat Kaka angu mie kanizidi 11 yrs, na huyu binti mie nimemzidi miaka 7, imagine binti anataka mahusiano na jamaa aliyemzidi 18yrs km sio umalayaa nn?? Na wakati huo Kaka angu yuko kazini.
Tena huyu binti alikua ana force mnoo kudate na brooh, nikamchambaa hiyo siku ndo akakomaa. Nlivomuambia broh na ile barua alivyo soma alichokaaa, mtoto kaandika maneno makubwaa,
Yaan anasema yuko tayari kuacha shule ili aolewe na broh. Utadhan aliambiwa broh anatafuta mke.
Hawa watoto wache umalayaaaa.
Baba na mamaNani mlizni wa mtoto?
Hili lawezekana pia, katika jamii zetu hizi siku hizi watoto wanabakwa then mzazi anayamaliza na mbakaji, sasa afisa kama alikutana na kesi kama hiyo akakataa ndio mambo kama hayaHii itakuwa alikuwa anasimamia kesi ya watu fulani wakamuomba yaishe akakomaa wakamtengenezea kesi. Bongo noma, nakataa kabisa afisa ustawi afanye hicho kitendo