cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwan unadhan hawajui?? Si wanajitoa ufahamu tyuuh.Hili ni swala ambalo jamii inakwepa kulizungumza humu , hatuungi mkono watu wazima kuwa na mahusiano na watoto, lakini pia tunakemea tabia za watoto wa siku hizi za umalaya, wakikutana na mtu mzima wa hovyo anakula tunda
Mwaka juzi nilikutana na kundi la wanafunzi wa kike walikuwa kama wanne, kwa haraka haraka niliona kama wapo kidato cha nne, licha ya kwamba sifahamiani nao na sikuwasemesha lakini mmoja alisema " kaka mambo ?,rafiki yetu huyu anasema anakupenda...."
Ilibidi nicheke tu na kuendelea na safari yangu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Watoto waache umalayaaa. Ukweli usemweeeee.