Kigoma: Ofisa Ustawi wa Jamii jela miaka 30 kwa ubakaji

Kwan unadhan hawajui?? Si wanajitoa ufahamu tyuuh.

Watoto waache umalayaaa. Ukweli usemweeeee.
 
Wahudumu wa guest hawakuona kuwaa huyo Ofisa yuko na binti mdogo?? Huyu binti alifikajee Guest??
Hii case ichunguzwe upyaaa, vitoto vidogo viache umalayaaa.
He manipulated her and it is bad
 
Kweli kabisa, kama kweli afisa alikuwa na mahusiano na hako katoto, basi itakuwa alikataa kukaoa , otherwise huko ni jambo la kawaida kwao

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nikwambie wazi huyu afsa kachomekewa na adui yake au mkewe aliweka mtego wasiri bila kujua madhara (mana kule kesi humalizwa kimyakimya za aina hii)

Tujiulize ,ni afsa ustawi wajamii marufuku anayoimba kilasiku isitekelezwe yeye ndo katekeleza miaka 30 michache kapigwa alitakiwa miaka 91.
 
Huyo auwawe direct ni unyama ulopitilizašŸ™
 
He manipulated her and it is bad
Mkuu, can a 13-year-old be manipulated ? And how ? , Girls her age are already at the level to know what's good and bad

N.B
I'm not saying what the guy did is right, but as a society tukiendelea na hii imani kwamba watoto wanashawishiwa tukaacha kuwakanya basi huko mbele tunaelekea kubaya. Ndio maana wazee wa zamani walikuwaga wakali sana

Juzi hapa nimeenda kwa bro, imefika saa mbili kasoro usiku binti yake hajarudi,yani alitoka shule akapitiliza huko anadai alienda kwao rafiki yake, nilimtandika sana licha ilithibitishwa kweli alikuwa huko ila ninaamini mtoto wa form 1 tena wa kike ratiba yake inapaswa kuwa shule-nyumbani

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Even a 19 years old can be manipulated sembuse Hawa

Hii age wapo very vulnerable 14- 20 ni age ambayo mabinti wanakua vurnelable

Ukitest vizuri ukifanya manipulation Sawa Sawa Kazi inakua imeisha
 
Ina maana alimuingiza kinguvu gesti

Ova
 
Wahudumu wa guest hawakuona kuwaa huyo Ofisa yuko na binti mdogo?? Huyu binti alifikajee Guest??
Hii case ichunguzwe upyaaa, vitoto vidogo viache umalayaaa.
Umeshasema ''vitoto vidogo''. Hii ina maana kuwa akili zao hazijakomaa na hawawezi kufanya maamuzi sahihi. Fikiria mtoto mwenye umri huu halafu ameshinda bila kula akikutana na mjinga kama huyu. Ni rahisi sana kumlaghai mtoto, na ndiyo maana imewekwa adhabu kubwa kuwalinda.
 
Unawaita watoto halafu hapo hapo unataka wafikiri kama watu wazima. Kumlaghai mtoto ni rahisi sana kwani akili yake haijakomaa kufanya maamuzi sahihi.
 
Yawezekana hakumbaka ila alikuwa na mahusiano nae, ambapo kwa umri wa binti inatafsiriwa ni mdgo hvyo umebaka
 
Hao ni wabakaji. Kwa namna yoyote hakuna kinachoweza kuhalalisha kitu cha namna hii. Kuna watoto wanaokulia kwenye mazingira magumu sana halafu mtu mzima anajitoa ufahamu eti anapeleka lawama kwa mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…