Kigoma: Ofisa Ustawi wa Jamii jela miaka 30 kwa ubakaji

Vitoto vidogo viachee umalayaaa, full stop na sibadilishi maneno.

Na nimemaliza hivyooooo.
Lindi na Mtwara mtoto wa darasa la nne ana mabwana akiingia secondary amekubuhu.

Nilisikia jamaa alihukumiwa kwa kubaka alakata rufaa na akashinda kwa kuwa binti alitumia vishawishi vilivyomshinda nguvu.

Ila kuna wamama wengine hugeuza watoto wao mtaji. Either Uwe bwana wake or wanatengeneza mazingira ya kubaka ili walipwe au wakukomoe kwa kumkataa...
 
Wahudumu wa guest hawakuona kuwaa huyo Ofisa yuko na binti mdogo?? Huyu binti alifikajee Guest??
Hii case ichunguzwe upyaaa, vitoto vidogo viache umalayaaa.
Kwa sheria zetu, mtu mzima akitembea na mtoto chini ya miaka 18 (minor) ni ubakaji hata kama walielewana. Ila kwenye kesi hizi kuna mengi sana ila Mungu ndo anaye jua huwenda afisa mtendaji kaingizwa king bila kujua. Muhurumie sana mtu ambaye kazi yake inahusika moja kwa moja na jamii tena yenye uchumi mdogo hawa watu hawaaminiki na wana wivu sana
 
Unaanzaje kutongoza mtoto wa miaka 13?
Huenda ulikuwa mtego ndugu, kwani kupata cheti cha kuzaliwa kuna ugumu gani na unasoma miaka 13 huku akiwa na 18 au 19, Angalia nature ya kazi yake ukichunguza kwa makini kuna jambo ila ingawa inawezekana kuwa ni tamaa zake tu
 
Wahudumu wa guest hawakuona kuwaa huyo Ofisa yuko na binti mdogo?? Huyu binti alifikajee Guest??
Hii case ichunguzwe upyaaa, vitoto vidogo viache umalayaaa.
mkuu ni ubakaji kutembea na mtu yeyote mwenye umri wa chini ya 18
 
Inakuwa vipi watoto wadogo wanakutamani kingono hadi kupata ujasiri wakukuambia wanakupenda?

Kuna aina ya udhaifu wameona. Anaona wewe ni mtu rahisi tu zaidi utaishia kucheka kama ulivyosema.

Hao watoto ungewakamata ungewapeleka kwa mwenyekiti wa mtaa waeleze kwanini wanaongea maneno ya hovyohovyo mtaani kwa wakubwa wao.
 
Mkuu, habari ?, Ilikuwa first time kuonana nao hivo hawakuwa wananijua wala mimi sikuwa nawajua, ulichosema ni sahihi kuhusu kuwaadhibu
lakini mimi nilikuwa na haraka zangu na harakati za kwenda kutafuta maisha hivo nilipuuza tu sababu huko nilikokuwa naenda nilikuwa nimeshachelewa
 
Kwny hii case;
Wakili wa serikali mwanamke,, hakimu mwanamke,,, sidhani kama kuna haki imetendeka hapa.

Afu nyie watu mnaomshambulia mshitakiwa,,, hivi mnajua hao watoto wamiama 13 huko mtaani wakoje?? Mnahisi wako innocent kama mnavoandika hapa??
 
Kwa sisi watu wa Mahakama tunajua, ikitokea umebaka halafu ukakutana na Hakimu mwanamke, pengine ukute na yeye alibakwa utotoni mwake, au ana ndugu aliyebakwa wakati fulani, nakuhakikishia kwamba hutabaki salama.

Hata kama hakubakwa yeye binafsi au mtu wake wa karibu, ule ukweli tu kwamba aliyebakwa na mwanamke mwenzake, huwa inawafanya wawe emotional sana kwenye maamuzi. Wengine huwa wanadiriki kusema, potelea mbali acha nimfunge hata kama ushahidi haujitoshelezi, ataenda kuachiliwa huru akikata rufaa [emoji28]. Swali ni je, vipi asipokata rufaa?
 
Umeongea mkuu
 
Kwny hii case;
Wakili wa serikali mwanamke,, hakimu mwanamke,,, sidhani kama kuna haki imetendeka hapa.

Afu nyie watu mnaomshambulia mshitakiwa,,, hivi mnajua hao watoto wamiama 13 huko mtaani wakoje?? Mnahisi wako innocent kama mnavoandika hapa??
Alafu pia usiyaamini sana maneno ya kwenye makaratasi...
Kuna proof gani kuwa huyo mtoto ana miaka 13 tu?

Kuhusu hili ningeenda deep kidogo, na sio kwamba namtetea Afisa ustawi... ila mi binafsi nimeshuhudia kesi kadhaa watu wakihukumiwa, kwa makosa yasiyo ya kwao..

Haya mambo yaacheni tu kama yalivyo!
 
Si ndo hapo sasa,
 
Kwny hii case;
Wakili wa serikali mwanamke,, hakimu mwanamke,,, sidhani kama kuna haki imetendeka hapa.

Afu nyie watu mnaomshambulia mshitakiwa,,, hivi mnajua hao watoto wamiama 13 huko mtaani wakoje?? Mnahisi wako innocent kama mnavoandika hapa??
Kwani hawawajui? Si wanaleta unafiki hapaa tyuuh.
 
Unaanzaje kutongoza mtoto wa miaka 13?
Namna ya kuanza ni kama mvuvi anavyomdanganyia samaki kwa chambo.

Watu hujitoa akili, pili hujitoa kwa mali linapokuja suala la ngono!

Mtu unakuta ana suruali imejaa viraka, lakini hela ya "kuhonga pakubwa" hakosi kibindoni mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…