Kigoma: Polisi Wadaiwa kuua raia kwa risasi na kujeruhi wawili kwenye kiwanja cha mpira Lake Tanganyika

Waha wana akili za kijinga sana.
Nadhani nimeeleweka. Polisi walikuwa wakituliza ghasia ila hao ndugu zetu wakajifanya miamba yakawakuta ya kuwakuta.
Kigoma kuna makabila zaidi ya sita na Kigoma mjini (lilipotokea hilo tukio) wengi ni Wamanyema, Wagoma, wabwali na Wabembe lakini umeamua kuwachagua Waha! Chuki yako ni ya kiwango cha juu mno. Endelea kushabikia mauaji ya raia wasio na hatia mpaka siku atakapomwagwa ma.vi mzazi wako ndo utajua umuhimu wa kuheshimu sheria.
 
Umeona clip ya tukio? No tofauti kabisa na inavyoelezewa. Hakukuwa na shambulio wala vurugu zozote zaidi ya mashabiki kwa mashabiki kuzomeana.
 
Mamwera sijawahi wakubali hata kidogo lakini sometimes tuwaonee huruma,

Askari yupo chini mawe yanarushwa afu wajinga wanataka wampore AK47 ungekuwe wewe unafanyaje?
Tafuta clip uone tukio lilivyokuwa, naamini utakuja kurekebisha ulichoandika.
 
Endelea kushabikia mauaji ya raia wasio na hatia, ipo siku itaguswa familia yako na akili itakaa sawa.
 
Coomer tu.
 
Endelea kushabikia mauaji ya raia wasio na hatia, ipo siku itaguswa familia yako na akili itakaa sawa.
As long as vurugu zao zilitaka kumtoa uhai polisi waliyekiwa anapondwa mawe, na walilenga kumnyang'anya polisi silaha, basi ilikuwa ni sawa wao kupigwa.

Labda kama tukio halikuwa kama lilivyoelezewa.
 
Afande kajitahidi sana,hakua na Nia ya kuua ndio maana wote aliwashambulia kwenye miguu
 
As long as vurugu zao zilitaka kumtoa uhai polisi waliyekiwa anapondwa mawe, na walilenga kumnyang'anya polisi silaha, basi ilikuwa ni sawa wao kupigwa.

Labda kama tukio halikuwa kama lilivyoelezewa.
Kama ni kweli walitaka kumpokonya silaha na kama ni kweli walikuwa wakishambulia kwa mawe basi nadhani askari alikuwa sahihikufyatua risasi.

JAPOKUWA SIUNGI MKONO MAUAJI LAKINI WLIKUWA APIGE SEHEMU AMBAZO HAZIWEZI KUUA MOJA KWW MOJA KAMA VILE MIGUUNI,AU PAJANI.

LAKINI JEE KWA VURUGU HIZO UTAWEZA KUTULIA KULENGA SHABAHA ?

Kazi za uaskari lawama sana aisee
 
Afande kajitahidi sana,hakua na Nia ya kuua ndio maana wote aliwashambulia kwenye miguu
Navuta picha mimi ndio askari watu wamwnizongea,nawqza kupokonywa silaha,mawe yananifika kichwani na sehemu mbalimbali za mwili,nimeshaingia wenge tayari nina hofu na nina silaha mkononi..

Aisee huyo dada alikuwa na wakati mgumu sana kujitetea..
 
Unauliza hivi na kupata sauti ya kuongea kwasababu tu hayajakukuta wewe, na Wala aliefariki hauhusiani nae.
Na wewe unasema hivyo na kupaza sauti kwa sababu huyo askari sio ndugu yako na hauhusiani naye na hayajakukuta na
Subiri siku polisi wafanye tukio litakalogusa familia au damu yako hapo ndipo utaelewa namna inayopaswa kutumika
Tayari raia wameshafanya tukio la kuigusa familia ya huyo dada polisi.

Na polisi wameahafanya tukio la kuigusa familia ya muuaji.

Mbona hutaki kusema na kugusia familia za hawa askari,au askari hawana familia wala wqtu wanaowategemea ?
 
Kwa kweli tanzania ni watu tuna ushabiki sana aisee.

Alafu hawa hawa wanamsapoti putin kwa mauaji yake kule ukraine
 
Imefika hatua hilo jeshi lifumuliwe na kusukwa upya!
Tusifike nalo 2025 likiwa kwenye muundo huu! Nooo! Enough is Enough!

Pili, kwenye michezo tujenge utamaduni wa kutumie stewards zaidi ya majeshi nyenye silaha!
Ipo siku mtanishukuru!

Tatu, wananchi amkeni! Tumieni hili gepu kupaza sauti. Hawa polisi wamesahau PGO wamegeukia uhalifu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…