Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Wewe ni CoomerMuwaambie raia wawe na utulivu na wasipende kupambana na polis Eti nguvu ya umma wataumia sana,tii SHERIA bila shuruti
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni CoomerMuwaambie raia wawe na utulivu na wasipende kupambana na polis Eti nguvu ya umma wataumia sana,tii SHERIA bila shuruti
USSR
Kigoma kuna makabila zaidi ya sita na Kigoma mjini (lilipotokea hilo tukio) wengi ni Wamanyema, Wagoma, wabwali na Wabembe lakini umeamua kuwachagua Waha! Chuki yako ni ya kiwango cha juu mno. Endelea kushabikia mauaji ya raia wasio na hatia mpaka siku atakapomwagwa ma.vi mzazi wako ndo utajua umuhimu wa kuheshimu sheria.Waha wana akili za kijinga sana.
Nadhani nimeeleweka. Polisi walikuwa wakituliza ghasia ila hao ndugu zetu wakajifanya miamba yakawakuta ya kuwakuta.
Umeona clip ya tukio? No tofauti kabisa na inavyoelezewa. Hakukuwa na shambulio wala vurugu zozote zaidi ya mashabiki kwa mashabiki kuzomeana.Amesema mashabiki hao waliendelea kushambuliana na kuwapiga mawe askari waliokuwepo uwanjani hapo na kusababisha askari namba F.5123 D/ CPL Subira aliyekuwa na silaha aina ya AK 47 kushambuliwa sehemu ya kichwani na kuanguka chini” amesema kamanda Manyama
Tuambie namna ambayo angefanya hapa mkuu.
Tuchukulie niwewe umeangushwa chini na mawe yanamiminika na unasiraha ambayo inabidi uilinde kwa sababu kwenye huo umati sio wote ni wema mtu anaweza kupita nayo, pia ulinde uhai wako
Tafuta clip uone tukio lilivyokuwa, naamini utakuja kurekebisha ulichoandika.Mamwera sijawahi wakubali hata kidogo lakini sometimes tuwaonee huruma,
Askari yupo chini mawe yanarushwa afu wajinga wanataka wampore AK47 ungekuwe wewe unafanyaje?
Nakazia "Kuua raia wasio na hatia"Kazi ya kuua wanaiweza sn
YapNakazia "Kuua raia wasio na hatia"
Endelea kushabikia mauaji ya raia wasio na hatia, ipo siku itaguswa familia yako na akili itakaa sawa.Angemiminia hata raia kumi risasi za kifuani ingekuwa poa sana, kuna muda ibadidi tujue kwamba hata polisi nao mi binadamu na wanaweza kuwa emotional pia.
Hata kama ni mimi siwezi kutuliwa nipigwe mawe na umati wa watu waliojitoa akili, tena nikiwa na Mrussia (AK-47).
Watu wavute bangi zao huko kisha waje kuleta stress zao kwenye kazi za watu? UA.
Coomer tu.Ile bunduki anayopewa askari mnadhani ni urembo? Kuna majitu majinga eti polisi haruhusiwi kutumia risasi za Moto mnajazana ujinga mkawapige mawe muone.
Kuna mazingira ambayo tunapaswa kufahamu kwamba polisi nao ni binadamu aisee unampiga mawe ili uibe bunduki?
Polisi anailinda bunduki kushinda baba na mamake wazee Kama hamjapita mafunzo mkae kimya aisee.
Amefanya Safi kabisa na angetandika za kichwa iwe fundisho umeenda uwanjani kuangalia mpira au unapeleka bangi zako?
Bilashaka vimewahi kula ndogo yako.Vibishi sana! Ndo maana vinaongoza kwa uchawa kama alivyo kaka yao Zitto ujinga ujinga tu!
Hakika mkuu.Ilivyoandikwa ni tofauti na ilivyokuwa, anyway acha maisha yaendelee.
As long as vurugu zao zilitaka kumtoa uhai polisi waliyekiwa anapondwa mawe, na walilenga kumnyang'anya polisi silaha, basi ilikuwa ni sawa wao kupigwa.Endelea kushabikia mauaji ya raia wasio na hatia, ipo siku itaguswa familia yako na akili itakaa sawa.
Kumbe ilikuwa akimbie na silaha yake huku akiwaacha wwnanchi wanafanya fujo ?Aliwafuata kufanya nini hao wananchi?
Kama ni kweli walitaka kumpokonya silaha na kama ni kweli walikuwa wakishambulia kwa mawe basi nadhani askari alikuwa sahihikufyatua risasi.As long as vurugu zao zilitaka kumtoa uhai polisi waliyekiwa anapondwa mawe, na walilenga kumnyang'anya polisi silaha, basi ilikuwa ni sawa wao kupigwa.
Labda kama tukio halikuwa kama lilivyoelezewa.
Navuta picha mimi ndio askari watu wamwnizongea,nawqza kupokonywa silaha,mawe yananifika kichwani na sehemu mbalimbali za mwili,nimeshaingia wenge tayari nina hofu na nina silaha mkononi..Afande kajitahidi sana,hakua na Nia ya kuua ndio maana wote aliwashambulia kwenye miguu
We Jamaa ni Mjinga Sana..Muwaambie raia wawe na utulivu na wasipende kupambana na polis Eti nguvu ya umma wataumia sana,tii SHERIA bila shuruti
USSR
Na wewe unasema hivyo na kupaza sauti kwa sababu huyo askari sio ndugu yako na hauhusiani naye na hayajakukuta naUnauliza hivi na kupata sauti ya kuongea kwasababu tu hayajakukuta wewe, na Wala aliefariki hauhusiani nae.
Tayari raia wameshafanya tukio la kuigusa familia ya huyo dada polisi.Subiri siku polisi wafanye tukio litakalogusa familia au damu yako hapo ndipo utaelewa namna inayopaswa kutumika
Kwa kweli tanzania ni watu tuna ushabiki sana aisee.Sasa ulitaka wamwue huyo Polisi na kuchukua AK47? Raia na sisi tuache upimbi! Polisianaruhusiwa kujihami kwa risasi za moto akiona kuna hatari ya kunyang'anywa silaha au kuuawa! Vijana waache mihemuko watamalizwa kwa risasi za moto! Kama kweli walimshambulia kwa mawe niko upande wake!
Huyo siyo Polisi; ni mtu mwingine tu ambaye aanapenda kuwachongea Polisi kwa wananchiKwa 100% wewe ni mwendwazimu tena uliyezaliwa kwa bahati mbaya sana!