Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwaambie raia wawe na utulivu na wasipende kupambana na polis Eti nguvu ya umma wataumia sana,tii SHERIA bila shuruti
USSR
Waha wana akili za kijinga sana.
Nadhani nimeeleweka. Polisi walikuwa wakituliza ghasia ila hao ndugu zetu wakajifanya miamba yakawakuta ya kuwakuta.
Wameshabadilisha IGP wa kila ain, Ila bado polisi wanaua raia wasio na hatia.IGP Sirro ni mtu wa hovyo hovyo kwa kuruhusu watu wa hovyo kutenda unyama kwa binadamu wenzeo na bado wakalindwa.
Waha wana akili za kijinga sana.
Nadhani nimeeleweka. Polisi walikuwa wakituliza ghasia ila hao ndugu zetu wakajifanya miamba yakawakuta ya kuwakuta.
Ametoa ushauri mkuu. Aliyetoa ushauri na aliyetukana ni nani anaonekana kichaa?We mavi ulikuwepo huko Kigoma? Mavi ya makalioni pumbavu.
Polisi ni wanyama kupita kiasiKupitia ukurasa wake wa Twitter, Mdude ameandika:
Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika;
View attachment 2151568
Ndiyo watoto akina Siro na KingaiYale matoto alikuwa anawataja Sirro tusizae ndio hayo sasa yanaua hovyo
Au yenyewe hayamo
Wewe ni mjinga na heri usingezaliwa.Waha wana akili za kijinga sana.
Nadhani nimeeleweka. Polisi walikuwa wakituliza ghasia ila hao ndugu zetu wakajifanya miamba yakawakuta ya kuwakuta.
Kwa hali hii,sirro basi inatosha sasaKupitia ukurasa wake wa Twitter, Mdude ameandika:
Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika;
View attachment 2151568
Ni wauaji tupuHaswa
Karma hiyo
🔦Amesema licha ya kupiga risasi hizo lakini mashabiki hao waliendelea kumshambulia kwa mawe akiwa ameanguka chini ndipo alipofyatua risasi tatu na moja ilimpata marehemu Juma ambaye alijeruhiwa katika paja la mguu wa kushoto na risasi ya pili ilimjeruhi Omary Amdan (35), katika unyayo wa mguu wake wa kushoto na risasi ya tatu ilimjeruhi Nasibu Moshi (35), katika mguu wake wa kushoto.
Amesema mashabiki hao waliendelea kushambuliana na kuwapiga mawe askari waliokuwepo uwanjani hapo na kusababisha askari namba F.5123 D/ CPL Subira aliyekuwa na silaha aina ya AK 47 kushambuliwa sehemu ya kichwani na kuanguka chini” amesema kamanda ManyamaHuu Ni ujinga hakuna polisi anae ruhusiwa kutumia silaha ya Moto Tena kwa mwananchi ambae Hana silaha, hata Kama hakutii sheria bado alikua na namna nyingine ya kufanya sio kuua.