Kigoma Region Tanzania: Mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Kigoma na viunga vyake

Umesikika
 
Lambalamba na kamchape

Wahutu kujiita Waha, kimsingi Waha sikuizi wachache wengi Wahutu wa BUJA

Ugali wa lowe

Mawese

Migebuka

Mademu wabovu

Uchawi na uganga

Kigoma ni zero au (0) kubwa
 
Lambalamba na kamchape

Wahutu kujiita Waha, kimsingi Waha sikuizi wachache wengi Wahutu wa BUJA

Ugali wa lowe

Mawese

Migebuka

Mademu wabovu

Uchawi na uganga

Kigoma ni zero au (0) kubwa
Ule mkoa wa mpakani mambo hayo sio ya kushangaa, labda ukiambiwa huyu Mgogo ana asili ya Rwanda hapo unapaswa kushangaa
 
Eti Wakuu bora kigoma au bora lindi



Na je viwanja vya kula bata kigoma vipo?vitajwe...
 
Nliwahi ishi huko enzi hizo
Navikumbuka vitongoji kama
Burega
Shirika kwa kavanga
Mwanga
Meti
Mlole
Gungu
Masenga
Buzebazeba
Kwa misosi pako vzr kuna samaki wa kuitwa Kuhe na Mgebuka
Matunda ya kumwaga kule sokoni Nazareth
 
Businde na buhanda, kuna vitu vizuri pia huko, ila shida nyumba za udongo mpaka mjini
 
Kuna haja ya walimu wanaofundisha kigoma watoke mikoa mingine hii itasaidia sana kukuza elimu. Tatizo waalimu waliokonhuku mwengi waha ndo maana miaka na miaka wanalithishana mambo ya kimila tu.. ubishi, ujuaji, roho ya choyo na umaskini. Licha ya uwepo wa utajili mkubwa kwenye ardhi yenye rutuba.
 
kigoma watu wanai dis sana lakin ukikaa kigoma mjini pame uta enjoy sana tu kigoma pazuri sana 😢 shida miindombinu bado sio rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…