Kigoma Region Tanzania: Mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Kigoma na viunga vyake

Kigoma Region Tanzania: Mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Kigoma na viunga vyake

Waha sio watu smart kwenye kazi za ofisi..yani ukute Muha ni Daktari,Mwanasheria ni bahati ila utawakuta kwenye Manual work kama Duka,Konda,dereva,wauza dafu,Viwandani wamejaa,Kuli wa mzizigo..

Ni wabishi kupindukia No wonder hawataki kuelimika..kila kitu ujikuta wajuaji..Wengi ni washika dini na wanaamini Ushirikina kupita maelezo

Wanawake wa kigoma watulivu na wavilivu kwenye ndoa ni wachalikaji haswaa..Yuko radhi auze nyanya ila sio kuwa goli kipa..Inasemekana ni wachafu ila bado haijathibitishwa.

KGT(Kigoma) inaongoza kwa kambi nyingi za kijeshi TZ nzima ikifatiwa na Arusha..Kuna Kanembwa,Mtabila Jkt,Bulombora Jkt na kambi nyingine za Jwtz..

Hapo zamani Kigoma ilikua na barabara mbovu na Tope na vumbi la kiwango cha SGR sikuhizi angalau kuna Mkeka umetandikwa ila vumbi bado lipo

Asilimia kubwa ya Raia kutoka KGT aio waTanzania halisi ni wakimbizi kutoka nchi jirani kama Burundi,Congo,Rwanda n.k

Wakazi wa kigoma hufanya shughuli mbalimbali ikiwemo Uvuvi,Uchimbaji,Kilimo,Biashara(Hasa vitenge)
Umesikika
 
Lambalamba na kamchape

Wahutu kujiita Waha, kimsingi Waha sikuizi wachache wengi Wahutu wa BUJA

Ugali wa lowe

Mawese

Migebuka

Mademu wabovu

Uchawi na uganga

Kigoma ni zero au (0) kubwa
 
Lambalamba na kamchape

Wahutu kujiita Waha, kimsingi Waha sikuizi wachache wengi Wahutu wa BUJA

Ugali wa lowe

Mawese

Migebuka

Mademu wabovu

Uchawi na uganga

Kigoma ni zero au (0) kubwa
Ule mkoa wa mpakani mambo hayo sio ya kushangaa, labda ukiambiwa huyu Mgogo ana asili ya Rwanda hapo unapaswa kushangaa
 
Nliwahi ishi huko enzi hizo
Navikumbuka vitongoji kama
Burega
Shirika kwa kavanga
Mwanga
Meti
Mlole
Gungu
Masenga
Buzebazeba
Kwa misosi pako vzr kuna samaki wa kuitwa Kuhe na Mgebuka
Matunda ya kumwaga kule sokoni Nazareth
 
Businde na buhanda, kuna vitu vizuri pia huko, ila shida nyumba za udongo mpaka mjini
 
Kuna haja ya walimu wanaofundisha kigoma watoke mikoa mingine hii itasaidia sana kukuza elimu. Tatizo waalimu waliokonhuku mwengi waha ndo maana miaka na miaka wanalithishana mambo ya kimila tu.. ubishi, ujuaji, roho ya choyo na umaskini. Licha ya uwepo wa utajili mkubwa kwenye ardhi yenye rutuba.
 
kigoma watu wanai dis sana lakin ukikaa kigoma mjini pame uta enjoy sana tu kigoma pazuri sana 😢 shida miindombinu bado sio rafiki
 
Back
Top Bottom