πMbuyuni ~Moshi Limeungua February Hii
Soko La Mitumba ~Ujiji Kigoma Limeungua February
Linalofuata Sasa
Ukisikia ugaidi dhidi ya raia ndo huu. Serikali ya CCM haijawahi kuwa serious na huu uchomaji moto wa masoko.Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto kwenye Soko hilo ambalo linauza zaidi mitumba na kuna maduka pia ya bidhaa nyingine mbalimbali.
Chanzo: Ayo Tv
Mchina hana maana nguo unafua mara moja tu rangi yote inabaki kwenye beseniSjui Kwa nn watu wanapenda kuvaa mitumba wakat mchina kajaa ulimwenguni kote
Soko la Mtukula mkoani Kagera nalo limeungua nalo juzi katiMbuyuni ~Moshi Limeungua February Hii
Soko La Mitumba ~Ujiji Kigoma Limeungua February
Linalofuata Sasa
Kata Bima MkuuDuuh kwa ugumu huu wa maisha alafu biashara yako unayotegema ndio itokee hivyo unaweza kujikuta umekua mwehu ghafla
Kazi IendeleeSoko la Mtukula mkoani Kagera nalo limeungua nalo juzi kati
Uvccm wanapiga kazi sana yaana wakianza kuchoma masoko hakuna kulalaSoko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto kwenye Soko hilo ambalo linauza zaidi mitumba na kuna maduka pia ya bidhaa nyingine mbalimbali.
Chanzo: Ayo Tv
ππππ π πMpaka Wayamalize Masoko Tanzania NzimaUvccm wanapiga kazi sana yaana wakianza kuchoma masoko hakuna kulala
Nawakubali sana wanangu wa uvccm kwa hujuma hizi wako vyedi sana[emoji1][emoji3][emoji16][emoji28][emoji28][emoji2]Mpaka Wayamalize Masoko Tanzania Nzima