CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Well done uvccmSoko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto kwenye Soko hilo ambalo linauza zaidi mitumba na kuna maduka pia ya bidhaa nyingine mbalimbali.
Chanzo: Ayo Tv