CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Well done uvccmSoko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto kwenye Soko hilo ambalo linauza zaidi mitumba na kuna maduka pia ya bidhaa nyingine mbalimbali.
Chanzo: Ayo Tv
Tatizo ni wanunuajiMchina hana maana nguo unafua mara moja tu rangi yote inabaki kwenye beseni
Kwanini masoko huungua usiku na siyo mchanaSoko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto kwenye Soko hilo ambalo linauza zaidi mitumba na kuna maduka pia ya bidhaa nyingine mbalimbali.
Usiku ndiyo muda mzuri wa kuwafukuza [emoji1]Kwanini masoko huungua usiku na siyo mchana
Ni aibu kubwa nchi hii kwa uzembe wa Jeshi la Zima moto kutokuwa na vifaa na wataalamu madhubuti kuifanya kazi hii.Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.