Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Si lazima huyo Binti kuwa wa kwanza kuzaliwaKwahiyo jamaa alipata mtoto akiwa na miaka 23!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si lazima huyo Binti kuwa wa kwanza kuzaliwaKwahiyo jamaa alipata mtoto akiwa na miaka 23!!
wiki mbili zilizopita nilisafiri kwenda mkoa fulani, siti ya upande mwingine kwenye basi alikaa jamaa mmoja kavaa kama katola saudia leo naile makitu kichwani. pembeni kamekaa kabinti kadogo mno, nafikiri kale kama sio 13 yrs atakuwa 14. inaonekana wametoka kufunga ndoa dsm sasa wanarudi kwao kwenye fungate. kabinti kamejichora mkokononi na jamaa yuko very proud na katoto kale. nilisikitika sana kwasababu na mimi nimebarikiwa watoto wa kike, nisingekubali hilo. hivi ninyi watu mnabariki ndoa za watoto au ninyi mnaooa watoto wadogo, mnafurahia nini au mnajifunza nini toka kwao? hivi hata mapenzi vinajua? akili bado za kitoto anachojua yeye ni ngono tu hawezi hata kukushauri chochote, ukisafiri unajua pale nyumbani sijaacha mtu nimeacha mtoto. unaoaje mtoto kwanza.JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa chini ya umri kwa mahari ya ng'ombe 13 bila ridhaa yake.
"Binti alipigwa sehemu mbalimbali za mwili wake akilazimishwa kuolewa ambapo kulikua na ahadi ya kulipwa mahari ya ng'ombe 13 na waliokua wakishinikiza aolewe ni wazazi na hao ndio walikua na uroho wa kupokea mahari ya hao ng'ombe 13, taarifa zilizopo binti huyu alikua anachumbiwa na Wanaume watatu kwahiyo yule ambae ofa yake ilikuwa kubwa kwa ng'ombe 13 huyo ndio alikua analazimishwa aolewe nae wakati binti hakuridhia na kupelekea kipigo" amesema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma James Manyama.
Polisi Kigoma wanasema upelelezi wa tukio hilo bado unaendelea na watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40), Baba mkubwa wa marehemu Shija Juakali (44) na Baba mdogo wa marehemu aitwaye Majiba Juakali (29) wote wakazi wa Kijiji cha Lufubu wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
Nipashe
Hawa wasukuma wenzangu hawaelimiki kabisa. Utalazimisha vipi mwanao aolewe ili upante ng'ombe ?JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa chini ya umri kwa mahari ya ng'ombe 13 bila ridhaa yake.
"Binti alipigwa sehemu mbalimbali za mwili wake akilazimishwa kuolewa ambapo kulikua na ahadi ya kulipwa mahari ya ng'ombe 13 na waliokua wakishinikiza aolewe ni wazazi na hao ndio walikua na uroho wa kupokea mahari ya hao ng'ombe 13, taarifa zilizopo binti huyu alikua anachumbiwa na Wanaume watatu kwahiyo yule ambae ofa yake ilikuwa kubwa kwa ng'ombe 13 huyo ndio alikua analazimishwa aolewe nae wakati binti hakuridhia na kupelekea kipigo" amesema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma James Manyama.
Polisi Kigoma wanasema upelelezi wa tukio hilo bado unaendelea na watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40), Baba mkubwa wa marehemu Shija Juakali (44) na Baba mdogo wa marehemu aitwaye Majiba Juakali (29) wote wakazi wa Kijiji cha Lufubu wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
Nipashe
Daaah, madau ya wachumba watatu yamesababisha kifo cha binti! We mzee kupata mtoto mrembo ndo ukageuza kitega uchumi chako?! Sasa subiri kwenda kuozea jela! Jamani, hili liwe fundisho kwa wengine wanaofikiria kuwa watoto wao (hasa mabinti) kuwa kitega uchumi chao. Baadhi wakibahatika kupata mtoto wa kike, basi hapohapo wanaanza kupiga mahesabu ya mali. Wengine wamefikia hatua akipata mtoto wa kiume anachukia, eti kwa kuwa huyo badala ya kuleta ng'ombe, anazipunguza zilizopo nyumbani kwa kutoa mahali. Badilikeni jamani, hizi sio enzi za ujima.JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa chini ya umri kwa mahari ya ng'ombe 13 bila ridhaa yake.
"Binti alipigwa sehemu mbalimbali za mwili wake akilazimishwa kuolewa ambapo kulikua na ahadi ya kulipwa mahari ya ng'ombe 13 na waliokua wakishinikiza aolewe ni wazazi na hao ndio walikua na uroho wa kupokea mahari ya hao ng'ombe 13, taarifa zilizopo binti huyu alikua anachumbiwa na Wanaume watatu kwahiyo yule ambae ofa yake ilikuwa kubwa kwa ng'ombe 13 huyo ndio alikua analazimishwa aolewe nae wakati binti hakuridhia na kupelekea kipigo" amesema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma James Manyama.
Polisi Kigoma wanasema upelelezi wa tukio hilo bado unaendelea na watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40), Baba mkubwa wa marehemu Shija Juakali (44) na Baba mdogo wa marehemu aitwaye Majiba Juakali (29) wote wakazi wa Kijiji cha Lufubu wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
Nipashe
[emoji3516]JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa chini ya umri kwa mahari ya ng'ombe 13 bila ridhaa yake.
"Binti alipigwa sehemu mbalimbali za mwili wake akilazimishwa kuolewa ambapo kulikua na ahadi ya kulipwa mahari ya ng'ombe 13 na waliokua wakishinikiza aolewe ni wazazi na hao ndio walikua na uroho wa kupokea mahari ya hao ng'ombe 13, taarifa zilizopo binti huyu alikua anachumbiwa na Wanaume watatu kwahiyo yule ambae ofa yake ilikuwa kubwa kwa ng'ombe 13 huyo ndio alikua analazimishwa aolewe nae wakati binti hakuridhia na kupelekea kipigo" amesema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma James Manyama.
Polisi Kigoma wanasema upelelezi wa tukio hilo bado unaendelea na watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40), Baba mkubwa wa marehemu Shija Juakali (44) na Baba mdogo wa marehemu aitwaye Majiba Juakali (29) wote wakazi wa Kijiji cha Lufubu wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
Nipashe
Hawa wasukuma wenzangu hawaelimiki kabisa. Utalazimisha vipi mwanao aolewe ili upante ng'ombe ?
Ilitokea mkoani Mara. Msichana umri sawa na huu. Mwanaume 26yrs.Hawa wasukuma wenzangu hawaelimiki kabisa. Utalazimisha vipi mwanao aolewe ili upante ng'ombe ?
Bila shaka Hawa watakua wasukuma tu Wana akili mbovu Hawa wa mangosha na mamayo! IdiotJESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa chini ya umri kwa mahari ya ng'ombe 13 bila ridhaa yake.
"Binti alipigwa sehemu mbalimbali za mwili wake akilazimishwa kuolewa ambapo kulikua na ahadi ya kulipwa mahari ya ng'ombe 13 na waliokua wakishinikiza aolewe ni wazazi na hao ndio walikua na uroho wa kupokea mahari ya hao ng'ombe 13, taarifa zilizopo binti huyu alikua anachumbiwa na Wanaume watatu kwahiyo yule ambae ofa yake ilikuwa kubwa kwa ng'ombe 13 huyo ndio alikua analazimishwa aolewe nae wakati binti hakuridhia na kupelekea kipigo" amesema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma James Manyama.
Polisi Kigoma wanasema upelelezi wa tukio hilo bado unaendelea na watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40), Baba mkubwa wa marehemu Shija Juakali (44) na Baba mdogo wa marehemu aitwaye Majiba Juakali (29) wote wakazi wa Kijiji cha Lufubu wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
Nipashe
uchumi wakati usioeleweka kushoto kuliaUmaskini ni kitu kibaya sana.
UNTIL FURTHER NOTES![emoji3516]
"THREE SUITORS: ONE HUSBAND"
Written by
OYONO MBIA.
Kwahiyo jamaa alipata mtoto akiwa na miaka 23!!
Ajabu ndo haya yaliyowakuta.. Miaka 23 ilitakiwa awe darasani bado hivyo hatutegemei angekua na mtoto.. na hata kama angekua na mtoto bado asingeweza kumpiga mtoto kisa apate ng'ombe maana angekua kaelimika..
So alipata mtoto at wrong time ndio maana kafikia alipofikia.
Msukuma mchungaji haelewi kabisa. Usije kuta jamaa ana ng'ombe nyingi tu na hizo 13 anazitaka. Kwa kweli wasukuma wanapenda ng'ombe. Khaaaa.Hawa wasukuma wenzangu hawaelimiki kabisa. Utalazimisha vipi mwanao aolewe ili upante ng'ombe ?
Jina ni hilo Hilo la Lufubu kata ya kalya wilaya ya uvinzaHao ni wasukuma ndio tabia kina shija....halafu kijiji ni Lugufu sio lufubu....
Innalillah wainna ilayh rajiuun hakika inasikitisha.