Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio umaskini tu hata ukosefu wa elimu nalo ni jangaUmaskini ni kitu kibaya sana.
Acha kabisaa...wasukuma,wamasai,wamang'ati wanaishi enzi za ujima kabisaa...ukitaka kujua haya mambo tembea ndo utaona tena hata sio mbali nenda tu vijiji vya uzaramoni ambapo jamii za wafugaji wamehamia utayaona hayo!Tanzania bado iko gizani sana.
Ukiwa mjini unaona kama nchi imepiga hatua kwenye mambo fulani lakini ukweli ni kwamba bado Sana
Hebu fikiria Kama tusingetawaliwa tukaambukizwa effects Fulani mataifa ya Africa yangekuwaje,
Mbona kachelewa sasa...kusoma ndo kunafanya tucheleea kuzaa....kama tusingesoma wengine tungekua na ujukuu mbona!Kwahiyo jamaa alipata mtoto akiwa na miaka 23!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3516]
"THREE SUITORS: ONE HUSBAND"
Written by
OYONO MBIA.
Sio wote kaka!usintukanie wakwe zangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!wapo wanajielewa bwanaa!!!!Bila shaka Hawa watakua wasukuma tu Wana akili mbovu Hawa wa mangosha na mamayo! Idiot
Kumbe mweupe[emoji23][emoji23]baasi ndo maana!yaani wasukuma mwanamke akiwa mweupe daahh!kazuri kweli katoto very innocent kidBinti mwenyewe ndio huyu apaView attachment 2009370
HakunaAjabu ndo haya yaliyowakuta.. Miaka 23 ilitakiwa awe darasani bado hivyo hatutegemei angekua na mtoto.. na hata kama angekua na mtoto bado asingeweza kumpiga mtoto kisa apate ng'ombe maana angekua kaelimika..
So alipata mtoto at wrong time ndio maana kafikia alipofikia.