Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

wiki mbili zilizopita nilisafiri kwenda mkoa fulani, siti ya upande mwingine kwenye basi alikaa jamaa mmoja kavaa kama katola saudia leo naile makitu kichwani. pembeni kamekaa kabinti kadogo mno, nafikiri kale kama sio 13 yrs atakuwa 14. inaonekana wametoka kufunga ndoa dsm sasa wanarudi kwao kwenye fungate. kabinti kamejichora mkokononi na jamaa yuko very proud na katoto kale. nilisikitika sana kwasababu na mimi nimebarikiwa watoto wa kike, nisingekubali hilo. hivi ninyi watu mnabariki ndoa za watoto au ninyi mnaooa watoto wadogo, mnafurahia nini au mnajifunza nini toka kwao? hivi hata mapenzi vinajua? akili bado za kitoto anachojua yeye ni ngono tu hawezi hata kukushauri chochote, ukisafiri unajua pale nyumbani sijaacha mtu nimeacha mtoto. unaoaje mtoto kwanza.
 
Hawa wasukuma wenzangu hawaelimiki kabisa. Utalazimisha vipi mwanao aolewe ili upante ng'ombe ?
 
Daaah, madau ya wachumba watatu yamesababisha kifo cha binti! We mzee kupata mtoto mrembo ndo ukageuza kitega uchumi chako?! Sasa subiri kwenda kuozea jela! Jamani, hili liwe fundisho kwa wengine wanaofikiria kuwa watoto wao (hasa mabinti) kuwa kitega uchumi chao. Baadhi wakibahatika kupata mtoto wa kike, basi hapohapo wanaanza kupiga mahesabu ya mali. Wengine wamefikia hatua akipata mtoto wa kiume anachukia, eti kwa kuwa huyo badala ya kuleta ng'ombe, anazipunguza zilizopo nyumbani kwa kutoa mahali. Badilikeni jamani, hizi sio enzi za ujima.
 
Huwezi ukalazimisha asili. Huwezi kumlazimisha mtu kumpenda mtu.
Kuna kitabu fulani kinasimulia kisa cha kweli, msichana alikataa kuolewa na Mfalme, alimpenda sana mchunga
ng'ombe! Walipendana sana.
Msichana alikuwa mrembo sana, asili ya Msomali mweusi, ngozi ya kung'aa.
Mshulami. Mfalme alikuwa tajiri sana kumshinda Bill Gate Mara 100!
 
[emoji3516]
"THREE SUITORS: ONE HUSBAND"
Written by
OYONO MBIA.
 
Hawa wasukuma wenzangu hawaelimiki kabisa. Utalazimisha vipi mwanao aolewe ili upante ng'ombe ?
Hawa wasukuma wenzangu hawaelimiki kabisa. Utalazimisha vipi mwanao aolewe ili upante ng'ombe ?
Ilitokea mkoani Mara. Msichana umri sawa na huu. Mwanaume 26yrs.
Msichana akalazimishwa, akakubali, lakini moyoni mwake ni ganzi, yaani sijui nifafanueje!
Usiku hajisikii chochote, mwanaume anabaka.
Siku ya siku uzalendo ukamshinda. Akatafuta panga, akalinoa vilivyo, akalificha uvunguni.
Dume baada ya kubaka, akapitiwa na usingizi mnonoooo: mhuu!mhuu mhuu!mhuu!
Msichana akaamka taratiibu, akachukua panga lake.
Eee bwana eee! zilianguka panga tatu za hasira shingoni kwa dume, pap, pap, pap! Mtoto akasonya na kutupa panga hapohapo kitandani na kutoka nje.
 
Bila shaka Hawa watakua wasukuma tu Wana akili mbovu Hawa wa mangosha na mamayo! Idiot
 
Inasikitisha sana!! Unamlazimisha mwanao aende kuchezea "MKUYENGE" bila ridhaa yake?
 
Serikali iangalie hii sheria upya,
Umri kwa mtoto wa kike isiwe kigezo saaaanaaa, coz mwanamke anabadilika kibaiolojia zaidi kuliko umri,
Na vitoto vya siku hizi ndio kabisaaaa vinapendeza kweli,
Ila waazi hawajafanya jambo poa,
Wanyongwe tu
 
Mbona huko Pwani watoto wanaozeshwa wakiwa na miaka 13 ? Hata huko Zenj ni hivyo hivyo.
 
Hawa wasukuma wenzangu hawaelimiki kabisa. Utalazimisha vipi mwanao aolewe ili upante ng'ombe ?
Msukuma mchungaji haelewi kabisa. Usije kuta jamaa ana ng'ombe nyingi tu na hizo 13 anazitaka. Kwa kweli wasukuma wanapenda ng'ombe. Khaaaa.
 
Izo comment juu zina onesha kuna Watu wana chuki na wasukuma .chuki za kijinga kabsa certified idiots ni wengi humu ndani

SUBIRI KIDOGO
 
Hao ni wasukuma ndio tabia kina shija....halafu kijiji ni Lugufu sio lufubu....
Innalillah wainna ilayh rajiuun hakika inasikitisha.
Jina ni hilo Hilo la Lufubu kata ya kalya wilaya ya uvinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…