Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

Wakina Karumanzira hawajastaarabika mpaka leo. Unamuua ndugu yako, kisa Ng'mbe?
 
Nilienda kijiji Fulani nkakuta wasukuma vile vitoto under 16yrs vina watoto wadogo saana wameolewa uke wenza karibu wanne maisha wanayoishi daahh [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]...huzuni sana hawajui kuhusu shule wala kusoma karne hii na kizazi hiki cha sasa kuna watu wanaishi kama wahindi wekundu hapa Tanzania...nilienda juzi tu hapa hata wiki 2 bado
 
Tanzania bado iko gizani sana.

Ukiwa mjini unaona kama nchi imepiga hatua kwenye mambo fulani lakini ukweli ni kwamba bado Sana

Hebu fikiria Kama tusingetawaliwa tukaambukizwa effects Fulani mataifa ya Africa yangekuwaje,
Acha kabisaa...wasukuma,wamasai,wamang'ati wanaishi enzi za ujima kabisaa...ukitaka kujua haya mambo tembea ndo utaona tena hata sio mbali nenda tu vijiji vya uzaramoni ambapo jamii za wafugaji wamehamia utayaona hayo!
 
Kwahiyo jamaa alipata mtoto akiwa na miaka 23!!
Mbona kachelewa sasa...kusoma ndo kunafanya tucheleea kuzaa....kama tusingesoma wengine tungekua na ujukuu mbona!
 
Bila shaka Hawa watakua wasukuma tu Wana akili mbovu Hawa wa mangosha na mamayo! Idiot
Sio wote kaka!usintukanie wakwe zangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!wapo wanajielewa bwanaa!!!!
 
Hakuna
 
Inasikitisha sana, unakuta wazee, shingo zimewashupaa hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…